Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
mume mtamu, ndo maana ameshindwa
lakini mfikirie huyo binti ambavyo maisha yake yameharibiwa?!
Kuna risk ya vvu, and she is less than 16, imagine??!!
Maisha yake ya kimapenzi, atakavyokuwa anawachukia wanamme na kuwaogopa
imagine ni binti yako
kwa sasa anayehitaji msaada mkubwa ni hausigelo kuliko hata huyu mke wa mbakaji

mpelekeni polisi,huyo binti apatiwe na ushauri nasaha. mdogo wako nesi kwa nini asingeripoti polisi na kumkimbiza hostl binti apatiwe vya hiv kabla masaa 72 hayajapita?