Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

mume mtamu, ndo maana ameshindwa

lakini mfikirie huyo binti ambavyo maisha yake yameharibiwa?!
Kuna risk ya vvu, and she is less than 16, imagine??!!
Maisha yake ya kimapenzi, atakavyokuwa anawachukia wanamme na kuwaogopa

imagine ni binti yako
kwa sasa anayehitaji msaada mkubwa ni hausigelo kuliko hata huyu mke wa mbakaji

mpelekeni polisi,huyo binti apatiwe na ushauri nasaha. mdogo wako nesi kwa nini asingeripoti polisi na kumkimbiza hostl binti apatiwe vya hiv kabla masaa 72 hayajapita?
 
mnaweza niita dikteta
lakini mimi kama ni kaka au baba nimeletewa hii kesi
hiyo ndoa 'naivunja' hata binti akisema amemsamehe mumewe.....
kwa nguvu naivunja hiyo ndoa....

Mimi sikuiti hivyo! Ngoja aje nione mtazamo wake; l know today she wants to end the marriege; but who know what she will think tommorrow!
 
Ni kabinti kadogo, kamebakwa! Majirani walisikia kakikataa na ndio wakampigia simu Mdogo wangu!

Bado kuna ufumbuzi katika kunusuru ndoa yao, nadhani kuna mambo mengi ya kuhoji kama alivyopendekeza ashadii hapo juu ili kufikia maamuzi. anaweza akaamua kuachana na huyo mume wake lakini akaja kukutana na mwingine mwenye matatizo tofauti na kusababisha kuwa na mpangilio wa ovyo ktk maisha.
 
kuendelea ndoa na mbakaji?
kuachana atakufa au?
mnataka aje ambake watoto wa ndugu au?

Mkuu atuambie kwanza alikuta anabaka? au wanafanya tendo la ndoa kwa makubaliano? ambayo kama ndio mtoa mada aseme mume wa mdogo wake amekutwa akicheat na housegirl!
 
Hapa nimekosa neno la kusema inahitajika hekima ya kimungu zaidi
 
Mkuu atuambie kwanza alikuta anabaka? au wanafanya tendo la ndoa kwa makubaliano? ambayo kama ndio mtoa mada aseme mume wa mdogo wake amekutwa akicheat na housegirl!

Fighter kwa maelezo ya Kaunga, shemeji amebaka maana binti alikuwa anatoa kelele za 'sitakii, sitakii!!!'

Mh mi nae kwa umbeya! Utafikiri nilikuwepo!
 
Kongosho u r very right; risk ya kuendeleza hiyo ndoa ni kubwa mno! Poor the girl, kumbe kwao ni biharamulo! Nimemwambia akamtafute kwa ndugu zake ampeleke hospital then waende police!
 
mnaweza niita dikteta
lakini mimi kama ni kaka au baba nimeletewa hii kesi
hiyo ndoa 'naivunja' hata binti akisema amemsamehe mumewe.....
kwa nguvu naivunja hiyo ndoa....
Hata mimi... hapo nikumuokoa mkewe asije akaamua out of love wakati mtu mwenyewe hastaili penzi! Ngoja nitoke kabisa hii thread maana kesi hii inaniletea hasira.
 
Kaunga kosa mlilolifanya au alilolifanya mdogo wako ni kuacha kwenda kuripoti polisi at the time when the incident occured sasa mnataka kwenda kuripoti almost two days baada ya tukio la ubakaji kutokea sasa hapo ushahidi sidhani kama bado utakuwepo maana hata huyo mwanaume mwenyewe atawaruka hatua 100 kwa kuwa hata huko polisi au hospitali lazima mtaulizwa why you didn't
action mapema.....

Secondly, honestly kwangu mimi kuna vitu vingine your decision is at your hand, kwa mtu mbakaji (if it's true) what do you expect of him doesn't matter if he's your husband maana hii kesi we don't treat it tena kama a normal incident.

Kwangu mimi sitasema chochote ila nafikiria mdogo wako knows what is the best decision for her at the moment kwa kuwa anamjua vizuri mumewe na tabia zake....

Kwa wanaosema mwanamke asamehe wajaribu kufikiria ingekuwa mwanamke ndio ametenda hivyo je wangesamehe?

Najua wengi wanaongea maana kuongea ni rahisi kuliko kutenda...

TF....Dueces...
 
Kongosho u r very right; risk ya kuendeleza hiyo ndoa ni kubwa mno! Poor the girl, kumbe kwao ni biharamulo! Nimemwambia akamtafute kwa ndugu zake ampeleke hospital then waende police!

Kaunga, wanaanzaga police kwanza wapewe PF3 ndo waende hospital au nachanganya mambo?
 
hapo hakuna ndoa
maana binti ni less than 16
makosa ya kujamiiana anashtakiwa na jamhuri
tayari ni miaka 30

hii itamuokoa hata mdogo wako toka kwa huyo jamaa

Kongosho u r very right; risk ya kuendeleza hiyo ndoa ni kubwa mno! Poor the girl, kumbe kwao ni biharamulo! Nimemwambia akamtafute kwa ndugu zake ampeleke hospital then waende police!
 
hicho ndicho kinachouma.
Binti kafanyiwa ubaradhuli wa hali ya juu. . . Kaharibiwa maisha yake yote ya kimapenzi
c ajabu na maambukizi juu!
Na kama alivyosema TF mpaka sasa hata ushahd umeondoka!
Heri amtafutie wataalamu wa saikolojia binti atibiwe
yeye mke anajua tabia za mumewe miaka 3 ya uchumba na 4 ya ndoa ina maana mke hajui mumewe ni baka baka? Achukue hatua la atabaka hata ndugu za mkewe kama si majirani!

mume mtamu, ndo maana ameshindwa

lakini mfikirie huyo binti ambavyo maisha yake yameharibiwa?!
Kuna risk ya vvu, and she is less than 16, imagine??!!
Maisha yake ya kimapenzi, atakavyokuwa anawachukia wanamme na kuwaogopa

imagine ni binti yako
kwa sasa anayehitaji msaada mkubwa ni hausigelo kuliko hata huyu mke wa mbakaji
 
New updates
Mume karudi; anamwambia mdogo wangu, apige hesabu mchango wake kwenye nyumba waliyojenga na kila kitu ili amlipe ndoa iishe! I guess my job has been simplified now; ni kumfanya Mdogo wangu ajue anaweza kuishi bila mume, na amsaidie binti wa kazi kupata justice, mnaonaje?
 
hii 'culture' ya kuambiana 'tuyamalize yaishe' kwenye
mambo kama haya ya 'uhalifu' ndio mnachangia kuongeza 'wahalifu wengine zaidi'
'sexual offenders' wapo wengi kwenye jamii yetu na tunawaachia tu...
wengine wanakamata vitoto vya kiume halafu yanaishia kimya kimya....
halafu watoto hao wakiwa wakubwa wakiwa gays na kudai haki zao
tunaanza kutoa mapovu...while haya mambo yanapoanzia tunayanyamazia....
 
New updates
Mume karudi; anamwambia mdogo wangu, apige hesabu mchango wake kwenye nyumba waliyojenga na kila kitu ili amlipe ndoa iishe! I guess my job has been simplified now; ni kumfanya Mdogo wangu ajue anaweza kuishi bila mume, na amsaidie binti wa kazi kupata justice, mnaonaje?
lol................afadhari amesimplyfy shughuli jaman.
aende zake 2 ni mwendawazimu huyo.
 
Mimi hapa naona anayehitaji msaada wa haraka ni hausigelo kuliko haya mwenye mume

ni kwa sababu tu ni hausigelo ndo maana anaonekana insignificant lakini kwa upande mwingine ni binti wa mtu, hajafikisha hata miaka 16, kabakwa, hatari ya virusi vya ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa, mimba zisizotarajiwa, psychological torture.

Niliwahi ona mdada wa miaka 39 kabwakwa, it was so sad
hadi sasa kichwa yake haiko sawa
kama nati moja iliachia
na hapo ni baada ya kupelekwa kwa maspecialist wa akili nje ya nchi

mfikirie huyo binti ambaye hata maisha hajayaanza, so young

no matter wamechelewa kiasi gani huyu ni wa kupelekwa polisi
ushahidi wa majirani utasaidia
bora wajaribu kumtafutia haki yake

jamani, uchungu wa mtoto mkali
afu umekuza kabinti kako mtu akavamie?
Bora hata kawe kamekubali
imagine hofu aliyoipata wakati njemba imekashikilia
kalivyojaribu kujitetea

ni bora kukutana na simba msituni

Secondly, honestly kwangu mimi kuna vitu vingine your decision is at your hand, kwa mtu mbakaji (if it's true) what do you expect of him doesn't matter if he's your husband maana hii kesi we don't treat it tena kama a normal incident.

Kwangu mimi sitasema chochote ila nafikiria mdogo wako knows what is the best decision for her at the moment kwa kuwa anamjua vizuri mumewe na tabia zake....

Kwa wanaosema mwanamke asamehe wajaribu kufikiria ingekuwa mwanamke ndio ametenda hivyo je wangesamehe?

Najua wengi wanaongea maana kuongea ni rahisi kuliko kutenda...

TF....Dueces...
 
Thanks TF; SMS nimetumiwa usiku nimeiona leo asbh! There so many facts ambazo nilikuwa sizijui moja wapo ni umri wa binti!

I also concur with boss kuwa kuwaachia hawa watu tunalea liugonjwa kubwa zaidi! Again from far the only thing l can do ni ushauri tu.
 
New updates
Mume karudi; anamwambia mdogo wangu, apige hesabu mchango wake kwenye nyumba waliyojenga na kila kitu ili amlipe ndoa iishe! I guess my job has been simplified now; ni kumfanya Mdogo wangu ajue anaweza kuishi bila mume, na amsaidie binti wa kazi kupata justice, mnaonaje?

Nimetukana matusi yote niyajuayo. Mwanaume mpuuzi sana huyu. Sasa mpelekeni police ale mvua 30 tuone jeuri yake. Mafi yake!
 
New updates
Mume karudi; anamwambia mdogo wangu, apige hesabu mchango wake kwenye nyumba waliyojenga na kila kitu ili amlipe ndoa iishe! I guess my job has been simplified now; ni kumfanya Mdogo wangu ajue anaweza kuishi bila mume, na amsaidie binti wa kazi kupata justice, mnaonaje?

heee jamani huyo kaka sio mtu hata kidogo.ni kama alifanya purposely ili apate sababu ya kuvunja ndoa.komaeni na iyo kesi ya ubakaji apate adabu yake
 
Back
Top Bottom