Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

LIKE ,LIKE, LIKE.
Watu wengine wanajifanya kama vile hawaelewi kinachoendelea huko mitaani.Watoto hata wasipoajiriwa wanajiajiri ili wapate kula na sio kwa starehe.

Reserve comment zangu kwako!! kunakitu ujakiona hapa!!
 
Kwahiyo mke ndio kamfanya mumewe MBAKAJI?
Wewe mke wako anaweza kukufanya mbakaji (kama ni mwanaume)???
Unaweza ukamfanya mumeo MBAKAJI (kama ni mwanamke)??
Kila mwenye matatizo kwenye ndoa yake ana haki ya kuwa mbakaji na mbakaji ana haki ya kubakwa kwasababu mbakaji ana matatizo kwake?

Kweli watu tunatofautiana zaidi ya vidole na sura.

To some extent dia, nimeyaona hayo jamani, I wish you could understand me!
 
Aiseee!
Na siku akifa kwa ngoma/ishia kupata mimba ya mbakaji bado utaona poa kwasababu chanzo kilikuridhisha?
hii isikuumize sana my dia coz rape ina stage zake mojawapo ikiwa ni secrecy hii huwa inasababishwa sana na kuwa hawa rape victims wanakuwaga ni among family member e.g baba anambaka mtoto au kaka anambaka mjomba au mume anambaka shemeji au house gal anabakwa ....ndo maana watu wanabakwa kila siku lkn mahakamani kesi hakuna ndo maana watu wengine wanatetea humu pocbo yamewakuta.
 
si lazima apate ngoma au mimba.
Bado nasisitiza kua tabia nyingine za waume zasababishwa na wake kutokuwajibika matatizo mengine yanaepukikatu ndomana ni vema kua makini na vyanzo vya matatizo.
We huoni jela zipotu na watu wanaendelea na maovu?
Kubakwa kwa huyo msichana kumesababishwa vipi na mwanamke? Think critically before you comment otherwise utaonekana unaongea ili mradi watu waone na wewe umeongea
 
Kubakwa kwa huyo msichana kumesababishwa vipi na mwanamke? Think critically before you comment otherwise utaonekana unaongea ili mradi watu waone na wewe umeongea

Blaming the victim.
 
hii isikuumize sana my dia coz rape ina stage zake mojawapo ikiwa ni secrecy hii huwa inasababishwa sana na kuwa hawa rape victims wanakuwaga ni among family member e.g baba anambaka mtoto au kaka anambaka mjomba au mume anambaka shemeji au house gal anabakwa ....ndo maana watu wanabakwa kila siku lkn mahakamani kesi hakuna ndo maana watu wengine wanatetea humu pocbo yamewakuta.
No wonder maadili hamna.
Uvundo wote unafichwa uvunguni badala ya kutolewa nje.
 
Mama yangu alishawahi kuniambia MBIO ZA SAKAFUNI HUISHIA UKINGONI. Kama mdada yupo tayari kumsamehe basi wanaweza kuendelea, hata kama akiwa kicheche vipi akizeeka nyendo zake zote zitaishia ukingoni na hataweza tena kuwa kicheche bali atakuwa msikivu na mlezi bora wa familia.
 
Hii inaitwa "enabling" "justifying" au "legalizing".
 
Ni muhimu ujue sipo hapa kutetea ubakaji,
kikubwa nikujaribu kueleza chanzo cha huo ubakaji, hata kama mme/mke anafanyakazi mbali basi ni vema kua na ratiba maalumu ambayo kila mmoja atajua akilini na mwili utajiandaa ivyo.
Kwa hio wewe kutokana na maelezo yako unaruhusu cheat?

Pilu mimi sikubaliani na kucheat ila nilikuambia kuwa
mwanaume anayejiheshimu, anayeheshimu , anayethamini na kuijali nyumba yake, anayejitambua IKITOKEA amecheat hawezi kucheat nyumbani kwake hata siku moja, na wala mkewe hawezi jua..... zaidi hawezi KUBAKA..

kwa sababu kwenye posti yako ulisema haya "Nadhani umshauri mdogo wako atimize wajibu wake na mmewe hatakua na tamaa kwa sababu alimchagua yeye,
kiukweli kwa mwanamke kumfanya mvulana akupende na awemwaminifu ni rahisi sana ila wadada wengi wakileo hawajawapa waumezao nafasi kwa kiwango stahili.

Tena ashukuru katembea hapo hapo ndani yaonyesha alizidiwatu coz mkewe hampi shughuli ya kutosha,
je angemfuma uwanja wa fisi?

:focus:
nakubaliana na wewe kujua chanzo ni muhimu HATA KAMA VYANZO UNAVYOVITOA SIKUBALIANI NAVYO what next then? Amrudie mumewe? Ampe mapenzi motomoto kuziba gap? Vipi kuhusu mtoto ambaye hata miaka 16 hajatimiza na katendewa ukatili wa hali hii? Unadhani huyu mume anajutia? kama kaweza kumfukuza mkewe na housegirl baada ya kitendo hiki?

je mke atakuwa na hisia na mumewe? Je mke anajua mume huko Geita amekwisha wabaka wangapi? Vipi kuhusu usalama wa mahousegirl wengine? Vipi kuhusu maradhi? Vipi kuhusu ndugu(kama unavyojua familia zetu za kiafrika zilivyo) mume huyu hawezi kuwabaka? Hawezi baka hata watoto wa jirani?

ingawa ukweli na uamuzi wa mwisho anao mke, yeye ndo anayemjua mumewe vizuri (maana usikute hata kuna baadhi ya kesi za namna hii amezificha "kumtunzia" heshima mumewe. Vipi wakibarikiwa kupata mtoto hujasikia baba ambaka bintiye wa mwaka mmoja?
 
Kaunga, ndoa ni ful package, utam na uchungu wake. huwez select matam ya ndoa ukatupa machungu yake, never. Kikubwa usimshauri chochote, had walau baada ya wk 2, akil yake itakuwa ime2lia. Mwisho wa cku mi namshaur arud kwa mumewe, ayapotezee mapungufu yake, aendelee na maisha. Ina maana kama kuna k2 anadhan kinampa furaha lakin alikuwa hafanyi kwa kumheshm mmewe, sasa hv akirud awe anaenjoy kwa raha zake.
 
Kaunga mlijuaje alikuwa anambaka na wala sio makubaliano yao? Hebu tudokeze hapa.
 
Guys!
Majibu hospital, binti hana michubuko, hana traces za sperm kwenye urine. Alivyohojiwa kama alichaniwa nguo amesema hapana; hataki kesi anataka kurudi kwao. She is 16yrs old. Fighter might be right after all!

My young sis is kind of pissed; and she plan to just give the girl fare and her salary aende kwao.
 
Kuachana ni kitu kikubwa sana,na kitamuathiri kisaikolojia maisha yake yote kuliko km atamsamehe. Please yamalizeni kifamilia tu ili amani iendelee kuwepo.

...Mie nakuunga mkono. Watu wengi siku hizi ndani ya ndoa wamekuwa wepesi mno kukimbilia kuachana kila linapotokea tatizo kubwa ndani ya ndoa badala ya kukaa chini kama wana familia na kujaribu kuleta maelewano na kumpa nafasi mkosaji aonyeshe kwamba amefanya kosa na hivyo kuwa tayari kumuomba mwenzie samahani hata ikibidi mbele ya wanafamilia wa pande zote ili ndoa ya wahusika iendelee. Tatizo hili si dogo ni kubwa sana lakini linaweza kabisa kusamehewa na hivyo kuinusuru ndoa kutovunjika.

Kaunga mlijuaje alikuwa anambaka na wala sio makubaliano yao? Hebu tudokeze hapa.

Swali zuri hili...ila nahisi labda HG kasema hivyo ili kunusuru kazi yake....Ngoja tusubiri jibu la Kaunga.
 
Kaunga mlijuaje alikuwa anambaka na wala sio makubaliano yao? Hebu tudokeze hapa.

Looks like, katika process alilainika coz; majibu ya Daktari hakuna michubuko yoyote! Sijui; wataalamu watasema!
 
Tabia ya mtu ni sawa na mwiba wa samaki aitwaye"taa" mwiba wake haumuepuki hadi kufa kwake! Huyo bwana aachwe tu,hakuna dawa!
 
Guys!
Majibu hospital, binti hana michubuko, hana traces za sperm kwenye urine. Alivyohojiwa kama alichaniwa nguo amesema hapana; hataki kesi anataka kurudi kwao. She is 16yrs old. Fighter might be right after all!

My young sis is kind of pissed; and she plan to just give the girl fare and her salary aende kwao.
Duh tumeumbukaje?! No wonder Mume alikuwa na jeuri ya kuwafukuza!

Ila fikiria tu pengine hakuwa mgeni wa shughli hizo hivyo mchubuko haipo na pia kama alichikua muda kureport, ashaoga na kupoteza ushaidi.

Au ndo kama aivyosema Fighter, ilikuwa ni makubaliano!

But makubaliano na under 18 bado inaruhusiwa?

Kaunga; kwani mara ilipotokea dada hakumhoji h/girl? Alireact vipi?
 
Back
Top Bottom