LIKE ,LIKE, LIKE.
Watu wengine wanajifanya kama vile hawaelewi kinachoendelea huko mitaani.Watoto hata wasipoajiriwa wanajiajiri ili wapate kula na sio kwa starehe.
Kwahiyo mke ndio kamfanya mumewe MBAKAJI?
Wewe mke wako anaweza kukufanya mbakaji (kama ni mwanaume)???
Unaweza ukamfanya mumeo MBAKAJI (kama ni mwanamke)??
Kila mwenye matatizo kwenye ndoa yake ana haki ya kuwa mbakaji na mbakaji ana haki ya kubakwa kwasababu mbakaji ana matatizo kwake?
Kweli watu tunatofautiana zaidi ya vidole na sura.
hii isikuumize sana my dia coz rape ina stage zake mojawapo ikiwa ni secrecy hii huwa inasababishwa sana na kuwa hawa rape victims wanakuwaga ni among family member e.g baba anambaka mtoto au kaka anambaka mjomba au mume anambaka shemeji au house gal anabakwa ....ndo maana watu wanabakwa kila siku lkn mahakamani kesi hakuna ndo maana watu wengine wanatetea humu pocbo yamewakuta.Aiseee!
Na siku akifa kwa ngoma/ishia kupata mimba ya mbakaji bado utaona poa kwasababu chanzo kilikuridhisha?
Kubakwa kwa huyo msichana kumesababishwa vipi na mwanamke? Think critically before you comment otherwise utaonekana unaongea ili mradi watu waone na wewe umeongeasi lazima apate ngoma au mimba.
Bado nasisitiza kua tabia nyingine za waume zasababishwa na wake kutokuwajibika matatizo mengine yanaepukikatu ndomana ni vema kua makini na vyanzo vya matatizo.
We huoni jela zipotu na watu wanaendelea na maovu?
Reserve comment zangu kwako!! kunakitu ujakiona hapa!!
To some extent dia, nimeyaona hayo jamani, I wish you could understand me!
Kubakwa kwa huyo msichana kumesababishwa vipi na mwanamke? Think critically before you comment otherwise utaonekana unaongea ili mradi watu waone na wewe umeongea
No wonder maadili hamna.hii isikuumize sana my dia coz rape ina stage zake mojawapo ikiwa ni secrecy hii huwa inasababishwa sana na kuwa hawa rape victims wanakuwaga ni among family member e.g baba anambaka mtoto au kaka anambaka mjomba au mume anambaka shemeji au house gal anabakwa ....ndo maana watu wanabakwa kila siku lkn mahakamani kesi hakuna ndo maana watu wengine wanatetea humu pocbo yamewakuta.
Mama yangu alishawahi kuniambia MBIO ZA SAKAFUNI HUISHIA UKINGONI. Kama mdada yupo tayari kumsamehe basi wanaweza kuendelea, hata kama akiwa kicheche vipi akizeeka nyendo zake zote zitaishia ukingoni na hataweza tena kuwa kicheche bali atakuwa msikivu na mlezi bora wa familia.
Ni muhimu ujue sipo hapa kutetea ubakaji,
kikubwa nikujaribu kueleza chanzo cha huo ubakaji, hata kama mme/mke anafanyakazi mbali basi ni vema kua na ratiba maalumu ambayo kila mmoja atajua akilini na mwili utajiandaa ivyo.
Kwa hio wewe kutokana na maelezo yako unaruhusu cheat?
Kwa heshima ya wife! huyo sio kati ya hawo viumbe!
Kuachana ni kitu kikubwa sana,na kitamuathiri kisaikolojia maisha yake yote kuliko km atamsamehe. Please yamalizeni kifamilia tu ili amani iendelee kuwepo.
Kaunga mlijuaje alikuwa anambaka na wala sio makubaliano yao? Hebu tudokeze hapa.
Duh tumeumbukaje?! No wonder Mume alikuwa na jeuri ya kuwafukuza!Guys!
Majibu hospital, binti hana michubuko, hana traces za sperm kwenye urine. Alivyohojiwa kama alichaniwa nguo amesema hapana; hataki kesi anataka kurudi kwao. She is 16yrs old. Fighter might be right after all!
My young sis is kind of pissed; and she plan to just give the girl fare and her salary aende kwao.