The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Sasa Kaunga what do you expect binti atasema after what happened na alivyotishwa kumbuka hapa huyu binti hapo alipo ana hofu and may be she's still shocked of what happened to her so usimlaumu sana...Guys!
Majibu hospital, binti hana michubuko, hana traces za sperm kwenye urine. Alivyohojiwa kama alichaniwa nguo amesema hapana; hataki kesi anataka kurudi kwao. She is 16yrs old. Fighter might be right after all!
My young sis is kind of pissed; and she plan to just give the girl fare and her salary aende kwao.
Kaunga, ndoa ni ful package, utam na uchungu wake. huwez select matam ya ndoa ukatupa machungu yake, never. Kikubwa usimshauri chochote, had walau baada ya wk 2, akil yake itakuwa ime2lia. Mwisho wa cku mi namshaur arud kwa mumewe, ayapotezee mapungufu yake, aendelee na maisha. Ina maana kama kuna k2 anadhan kinampa furaha lakin alikuwa hafanyi kwa kumheshm mmewe, sasa hv akirud awe anaenjoy kwa raha zake.
kama ishu ni kubaka,
na nyinyi mnapenda haki
basi mgeanzia kituo cha polisi kwanza
huyo 'mhalifu' akamatwe.mengine yatakuja baadae...
Kubakwa kwa huyo msichana kumesababishwa vipi na mwanamke? Think critically before you comment otherwise utaonekana unaongea ili mradi watu waone na wewe umeongea
Looks like, katika process alilainika coz; majibu ya Daktari hakuna michubuko yoyote! Sijui; wataalamu watasema!
Boss huyu binti definitely hataki kusema na hawezi kusema when you think of kubakwa it's not an easy situation to handle so hata kama amebakwa lazima ataficha tu kutokana na jinsi anavyojisikia au anaona akisema alibakwa watu watamfikiria vingine so naelewa kwani alipopimwa huko hospitali amekataa ku-prove if it's true, elimu zaidi inahitajika kutolewa zaidi kwa watu wa namna hii...hivi nyinyi mnajua maana ya kubaka?
sio lazima michubuko
any 'unwanted' sex inaweza kuwa ni kubaka
mmewahi kusikia kuhusu 'date rape'???????/
hata kama alilainika still inaweza kuwa ni ubakaji..
kwani mtoto wa miaka 12 akilaainika sio ubakaji???????
Kaunga, mi nahc umetia chumv hii stor ili kutafuta sympath ya wachangiaji. Kama co ww, bas sista yako kaweka chumv. Hapa hakumfumania mme anambaka hg, bali aliwakuta wakifanya ngono. From there sasa ni ishu tofaut. Na wanaojifanya kumtetea huyo hg wanakosea. pengine hawajakaa na mahausgel wanaotega. Sioni hatia kwa huyo mwanaume.
You know very well what you wrote... So i'm not that dumb....Duecesungesoma vizuri mchango wangu wa mwanzo ungeelewa vema nilimanisha nini, sasa sijui ata nikusaidiaje!
Hongereni zenu wenye visingizio vya kubaka watoto wadogo.
Boss unajua watu wanajaribu ku-protect hii ishu kuwa sio ubakaji, wana assume vitu vingine which to me doesn't make sense at allhivi ukikuta mtu mzima anafanya ngono na underage sio ubakaji??????
You know very well what you wrote... So i'm not that dumb....Dueces
Boss unajua watu wanajaribu ku-protect hii ishu kuwa sio ubakaji, wana assume vitu vingine which to me doesn't make sense at all
hivi ukikuta mtu mzima anafanya ngono na underage sio ubakaji??????
Boss unajua watu wanajaribu ku-protect hii ishu kuwa sio ubakaji, wana assume vitu vingine which to me doesn't make sense at all
Huo ni mtazamo wako.....BACK TO THE TOPIC.....sorry ! Mbona umekua mkali nini tena?