Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Guys!
Majibu hospital, binti hana michubuko, hana traces za sperm kwenye urine. Alivyohojiwa kama alichaniwa nguo amesema hapana; hataki kesi anataka kurudi kwao. She is 16yrs old. Fighter might be right after all!

My young sis is kind of pissed; and she plan to just give the girl fare and her salary aende kwao.
Sasa Kaunga what do you expect binti atasema after what happened na alivyotishwa kumbuka hapa huyu binti hapo alipo ana hofu and may be she's still shocked of what happened to her so usimlaumu sana...
 
...."adhabu" ya kufumaniwa inauma

....imagine mida hii huyo mheshimiwa anajisikiaje...huko alipo, fedheha kwa mkewe, ndugu, jamaa na majirani...
anatamani hiyo'zawadi' ya krismas ingesubiria tu...

kitendo cha dada'ko kuchukua likizo kabla ya kufanya maamuzi mazito inaonyesha alivyo na busara
badala ya kukurupuka na kudai talaka...
 
hivi nyinyi mnajua maana ya kubaka?
sio lazima michubuko
any 'unwanted' sex inaweza kuwa ni kubaka
mmewahi kusikia kuhusu 'date rape'???????/

hata kama alilainika still inaweza kuwa ni ubakaji..
kwani mtoto wa miaka 12 akilaainika sio ubakaji???????
 
Kaunga, ndoa ni ful package, utam na uchungu wake. huwez select matam ya ndoa ukatupa machungu yake, never. Kikubwa usimshauri chochote, had walau baada ya wk 2, akil yake itakuwa ime2lia. Mwisho wa cku mi namshaur arud kwa mumewe, ayapotezee mapungufu yake, aendelee na maisha. Ina maana kama kuna k2 anadhan kinampa furaha lakin alikuwa hafanyi kwa kumheshm mmewe, sasa hv akirud awe anaenjoy kwa raha zake.

Ahsante kwa uelewa wako, baada ya hapo ndo waone watamsaidiaje huyo house G, ili akaendelee na maisha yake kama kawaida kwa amani!
 
Dont try this at home or at school.

kama ishu ni kubaka,
na nyinyi mnapenda haki
basi mgeanzia kituo cha polisi kwanza
huyo 'mhalifu' akamatwe.mengine yatakuja baadae...
 
Kubakwa kwa huyo msichana kumesababishwa vipi na mwanamke? Think critically before you comment otherwise utaonekana unaongea ili mradi watu waone na wewe umeongea

ungesoma vizuri mchango wangu wa mwanzo ungeelewa vema nilimanisha nini, sasa sijui ata nikusaidiaje!
 
Looks like, katika process alilainika coz; majibu ya Daktari hakuna michubuko yoyote! Sijui; wataalamu watasema!

Kaunga, mi nahc umetia chumv hii stor ili kutafuta sympath ya wachangiaji. Kama co ww, bas sista yako kaweka chumv. Hapa hakumfumania mme anambaka hg, bali aliwakuta wakifanya ngono. From there sasa ni ishu tofaut. Na wanaojifanya kumtetea huyo hg wanakosea. pengine hawajakaa na mahausgel wanaotega. Sioni hatia kwa huyo mwanaume.
 
hivi nyinyi mnajua maana ya kubaka?
sio lazima michubuko
any 'unwanted' sex inaweza kuwa ni kubaka
mmewahi kusikia kuhusu 'date rape'???????/

hata kama alilainika still inaweza kuwa ni ubakaji..
kwani mtoto wa miaka 12 akilaainika sio ubakaji???????
Boss huyu binti definitely hataki kusema na hawezi kusema when you think of kubakwa it's not an easy situation to handle so hata kama amebakwa lazima ataficha tu kutokana na jinsi anavyojisikia au anaona akisema alibakwa watu watamfikiria vingine so naelewa kwani alipopimwa huko hospitali amekataa ku-prove if it's true, elimu zaidi inahitajika kutolewa zaidi kwa watu wa namna hii...
 
Kaunga, mi nahc umetia chumv hii stor ili kutafuta sympath ya wachangiaji. Kama co ww, bas sista yako kaweka chumv. Hapa hakumfumania mme anambaka hg, bali aliwakuta wakifanya ngono. From there sasa ni ishu tofaut. Na wanaojifanya kumtetea huyo hg wanakosea. pengine hawajakaa na mahausgel wanaotega. Sioni hatia kwa huyo mwanaume.

hivi ukikuta mtu mzima anafanya ngono na underage sio ubakaji??????
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nakupa pole kwa kuwa suala la mdogo wako ni lako; mtizamo wangu lengo la kuoa au kuolewa ni kupata mtu wa kufarijiana,kusaidiana nk kwa kifupi kuwa na mtu atakaye kufanya uwe na hali ya furaha na amani ya moyo.

Ndoa ikishaingiliwa na kutokuaminiana inapoteza lile lengo lake. Wengi wamekua waking'ang'ania katika ndo zisizo na amani na upendo kwa sababu ya watoto au kutokuwa na namna ya kusimama peke yao, wengine kwa kuangalia jamii itasemaje akiachana. Sasa swali ni kwamba mdogo wako anahitaji nini katika maisha yake, kuitwa "mrs" hata km hana furaha na huyo "mr" ? .
 
Hongereni zenu wenye visingizio vya kubaka watoto wadogo.

hapana Lizzy, mi nnachotazama ni kuhusu huyu mme kama ananafasi tena katika jamii pia mke na mjukumu yake si kwamba nashabikia au kufurahia ubakaji jamani!
 
Boss unajua watu wanajaribu ku-protect hii ishu kuwa sio ubakaji, wana assume vitu vingine which to me doesn't make sense at all

yaani hii jamii yetu inahitaji 'shule kubwa'
unakuta mama mtu mzima 'hajui' kuwa binti akiwa
underage sio lazima 'nguvu' itumike ndo awe 'amebakwa'
matokeo yake unaona 'blaming the victim' imekuwa ni culture nayo..
 
@mwanajamii
Yaani l am speechless; binti alivyoulizwa alisema alilazimishwa, but who knows. Labda kufumaniwa ndiko kumemfanya aseme hivyo!
@Tuko
I was not seeking sympathy; nilinarrate kama nilivyoambiwa, kama ukiangalia post yangu ya kwanza my concern yangu ilikuwa my sis; baadaye nikaanza kumfikiria huyo binti especially baada ya kujua ni underage.
@The Finest n The Boss
Mwaweza kuwa right, but bila ushirikiano wa binti, Mdogo wangu hawezi; fikiria pia now she even think that binti alicooperate au ulikuwa mchezo wao wa siku nyingi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani hakuna suala gumu kama hilo. Kwa mama mhusika na kwa hausigeli. Kaunga shemeji yako hakuanza kubaka leo na wala hataishia leo. Ni mbakaji huyo. Haya mambo ya kusameheana jamani na mbakaji? Heri ingekuwa uzinzi wa kawaida tu.

Aachane naye. Matatizo yake ya kisaikolojia ya kushindwa kuzaa ameamua kujionyesha uanaume wake kwa kubaka. Na kuthibitisha zaidi kuwa ana matatizo ya akili ni pale alipopasua chupa ya bia ukutani. Hajiamini. Na pia alipofunga nyumba akaondoka.

Hv mnaosema amsamehe mnataka dada wa watu afanyeje. Akamuombe msamaha. Ukute alipo huko anabaka au kumega mwingine.

Hana adabu huyo hafai. Kubaka? Shame! Na ndo mana amepewa shahawa kidogo...naomba niishie hapa
 
mi hata sielewi tena
nimeona napandisha presha bure
under no sakamstensi mtu anaweza justify hili

mwenye mume analinda chake.

Boss unajua watu wanajaribu ku-protect hii ishu kuwa sio ubakaji, wana assume vitu vingine which to me doesn't make sense at all
 
Back
Top Bottom