Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
wana mmu
natumaini mlikuwa na blessed xmas? Sio hivyo kwa mdogo wangu, ambaye ni nurse ambaye baada ya kutoka mapema night shift alimfumania mumewe akimbaka msichana wa kazi. Amelazimika kuchukua likizo ili areflect; msimamo wake ni kuend ndoa ya kikatoliki.
Nimemwambia aje kwangu (likizo) nimshauri; she is coming in two days!
Wengi mnajua msimamo wangu; ushauri ambao ningempa ni kuachana naye. Lkn ninataka mdogo wangu apate the best ushauri from u guys!
Naomba mnisaidie tumshauri!
Asante na happy holidays!
timu ya yanga imekataa kucheza mcheo na esticom ya malawi tatizo halisi waandaji walishindwa kuweka sawa kinachoendelea..yanga wamesema awawezi kuhakikisha mechi wakati timu yenyewe aijafik ..leo nimesoma gazeti waandaji wamesogeza mechi mpaka wiki ijayo
kwako mpwa kwanza naomba anikupe pole sana sana sanaaaaa ingawa siyo wewe ila damu ni nzito.
Pili samahni kwa kuchelewa kujibu nionavyo maoni yako yameshamfikia kutokana na maandishi yako kianachofanyika hapa ni uhalalisho tu kwamba ulipata mawazo haya alakini haya ndio halisi kayafanyie kazi yaani achape lapa
ndugu yangu siwezi kutoa maoni kwa maana sijui wamefunga ndoa ama lah na kama bado walikuwa ni wazinzi na huyo mdogo wako ni hjaki yake kupata alichovuna aijalishi amezaa wangapi ameishi nae muda gani
kumuokoa mdogo wako sio kuvunja ndoa ama kuachana nae..zipo ndoa nyingi za ushahidi mpwa watu walizikimblia kutoa maoni yao wengine leo hii wameama hadi na makanisa na mitaaa waliokuwa nayo wakikaa na wanandoa baada ya kuachana kwa muda na kurudiana nakuanza kuwachamba waliokuwa wanashadadia
onyo tu ama angalizo
usiwe mwamuzi wa ndoa za watu kama awajafunga ndoa basi asilalamike amakukulalamikia maana anakulalamikia kama nani ??shemeji no...kaka ulipokea mahari no..........nakumbuka mdogo wangu mmoja alimfumania hawara yake miaka 3 ingawa alimwita mke kisa kazaa nae,,ndoa ingekuwa kuzaa wangapi wanaenda makanisani wakiwa na vitumbo vimesheni makontena ya kufyatulia matofali??
Kuwa makini na utakachotoa wazo lako ni muhimu ila maamuzi yao binfsi ni muhimu zaidi
wape happy new yr na nakuhakkikishia kwa maneno haya usishangae wakikuribisha nyumban kwao mwaka mpya nakwambia