MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Sijui kama ni bangi za mgodini au pomba za christmass. Lakini kwa vyo vyote vile huyu Shemeji yako sio Muungwa, maana katenda kosa badala ya kuomba samahani, anawafukuza Mama na HG, kufunga nyumba na kurudi mgodini. Hicho kiburi anakipata wapi? Huko mgodini nako kuna nmana fulani. Toa taarifa polisi ili sheria ichukue mkondo wake, na hiyo ndoa ipigwe chini. MAANDIKO MATAKATIFU YANASEMAJE KUHUSU ZINAA KATIKA NDOA?
Si ndio hapo sasa, tunajichanganya tu mi naona, maandiko yanakataza kutengana lakini pia maandiko yanaruhusu kutengana iwapo kutahisiana na uasherati. Mimi nafikiri kama kusamehe au kutosamehe ni uamuzi wake muathirika na aamue mwenyewe kusamehe kwa vigezo vyake mwenyewe kama anampeti vizuri, anamliza vema, anakidhi mahitaji yake n.k, n.k lakini tusiingize influences zetu katika maamuzi yake.
Kaunga huyo binti alobakwa kama ni mdogo bado sidhani kama kugoma kwake kwenda polisi ni suala lililoko mikononi mwake. Nyie ndio wa mumwongoza ili apate haki zake.