Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Sijui kama ni bangi za mgodini au pomba za christmass. Lakini kwa vyo vyote vile huyu Shemeji yako sio Muungwa, maana katenda kosa badala ya kuomba samahani, anawafukuza Mama na HG, kufunga nyumba na kurudi mgodini. Hicho kiburi anakipata wapi? Huko mgodini nako kuna nmana fulani. Toa taarifa polisi ili sheria ichukue mkondo wake, na hiyo ndoa ipigwe chini. MAANDIKO MATAKATIFU YANASEMAJE KUHUSU ZINAA KATIKA NDOA?

Si ndio hapo sasa, tunajichanganya tu mi naona, maandiko yanakataza kutengana lakini pia maandiko yanaruhusu kutengana iwapo kutahisiana na uasherati. Mimi nafikiri kama kusamehe au kutosamehe ni uamuzi wake muathirika na aamue mwenyewe kusamehe kwa vigezo vyake mwenyewe kama anampeti vizuri, anamliza vema, anakidhi mahitaji yake n.k, n.k lakini tusiingize influences zetu katika maamuzi yake.

Kaunga huyo binti alobakwa kama ni mdogo bado sidhani kama kugoma kwake kwenda polisi ni suala lililoko mikononi mwake. Nyie ndio wa mumwongoza ili apate haki zake.
 
Mwanajamiione nashukuru sana kwa kuielezea situation kuliko hata mimi nilivyojaribu! Natumaini debate ya wenye na wasio na ndoa itaisha.

Ninajaribu kumshauri Mdogo wangu amsaidie huyo binti, but yataka moyo. Tungekuwa same town definetely ningeshughulikia; natoa mwito kwa mJF aliyepo Geita mwenye moyo wa kumsaidia aniPM nimpe contacts za mdogo wangu, apate picha halisi. Huku nilipo majukumu yananibana sana.
 
Wana MMU
Natumaini mlikuwa na blessed Xmas? Sio hivyo kwa mdogo wangu, ambaye ni nurse ambaye baada ya kutoka mapema night shift alimfumania mumewe akimbaka msichana wa kazi. Amelazimika kuchukua likizo ili areflect; msimamo wake ni kuend ndoa ya kikatoliki.

Nimemwambia aje kwangu (likizo) nimshauri; she is coming in two days!

Wengi mnajua msimamo wangu; ushauri ambao ningempa ni kuachana naye. Lkn ninataka Mdogo wangu apate the best ushauri from u guys!

Naomba mnisaidie tumshauri!
Asante na happy holidays!

Kabla sijakupa ushauri hebu nieleze vizuri "kambaka" au kakuta wanafanya mapenzi?
 
Kabla sijakupa ushauri hebu nieleze vizuri "kambaka" au kakuta wanafanya mapenzi?

Personally, sidhani kama alibakwa...

Ma-HG siku hizi ni ma-opportunists... wanaangalia weakness iko wapi wanachukua nafasi kwenye ndoa za watu
 
Kabla sijakupa ushauri hebu nieleze vizuri "kambaka" au kakuta wanafanya mapenzi?

Madai ya binti wa kazi ni kuwa amebakwa! Jirani, anasema alimsikia anapiga kelele akisema hataki! Hataki! Vipimo hospt hakuna michubuko, na it was after 24 hrs baada ya tukio, meaning binti alishaoga n.k
 
kama majirani walisikia ni kweli kitoto kimebakwa........ ndoa hizi, huyo binti alobakwa apewe masaada wa kisaikolojia. mke ndio anamjua mumewe akae atafakari kama ndio aina ya maisha anayotaka kuishi au la afanye uamuzi mwenyewe
 
Personally, sidhani kama alibakwa...

Ma-HG siku hizi ni ma-opportunists... wanaangalia weakness iko wapi wanachukua nafasi kwenye ndoa za watu

Nisinge mlaumu sana HG, whether in opportunist or not. Issue ni husband; kwani ma-opportunist ni maHG tu? Mwanaume asipokuwa na msimamo atatembea hata na mama mkwe wake!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Personally, sidhani kama alibakwa...

Ma-HG siku hizi ni ma-opportunists... wanaangalia weakness iko wapi wanachukua nafasi kwenye ndoa za watu

Daaah...........natamani Ashadii apite hapa na asome ulichandika. Kweli dunia kizungumkuti.
 
duh! usikute kawafukuza wote baadae anamrudisha housigeli ndo anakuwa mazahausi. hii dunia hii :embarassed2:
 
Personally, sidhani kama alibakwa...

Ma-HG siku hizi ni ma-opportunists... wanaangalia weakness iko wapi wanachukua nafasi kwenye ndoa za watu

Daaah...........natamani Ashadii apite hapa na asome ulichandika. Kweli dunia kizungumkuti.

Kbd Asante Ujumbe umefika...

Kbd sometimes ni bora kuface reality... Niliposoma hii topic for the first time instincts zangu zilikua kwamba possibility kubwa ni kawakuta wamelalana. Ma HG ni moja ya mwanamke ambae ana nafasi kubwa saana ya kuwa mke mwenzio au hata akakupindua kabisa ndani ya nyumba.... Tushafanya saana discussion on this subject na members wengine akiwemo MJ1, Mbu, Apraio et al. Hio hupelekewa saana na the way wewe kama Mke waishi vipi na mumeo na huyou house gal umempa access kiasi gani kwa mumeo. Kuna wake wengine anakua kamuachia HG wake ndo msingi wa mahitaji yooote ya mume, kama vile kumuandalia chakula na kumuita mezani... Kumfulia na kumnyoshea na HG mwenyewe kumkabidhi huyo mume hizo nguo.... Kuingia chumbani kufanya usafi hadi mwingine atandika hadi kitanda....na mambo mengine meengi ambayo haipaswi house gal asogelee kwa mume.

Naunga Mkono post ya Darlingtone for ndio ukweli wenyewe na ma-house gal wesha shtukia hilo deal, na they are taking advantage of the matter. Na ofcourse waja kwa kasi....
 
amshtaki Polisi..
Kama amehakikisha kwa macho yake
kweli alikuwa anambaka..
 
Wana MMU
Natumaini mlikuwa na blessed Xmas? Sio hivyo kwa mdogo wangu, ambaye ni nurse ambaye baada ya kutoka mapema night shift alimfumania mumewe akimbaka msichana wa kazi. Amelazimika kuchukua likizo ili areflect; msimamo wake ni kuend ndoa ya kikatoliki.

Nimemwambia aje kwangu (likizo) nimshauri; she is coming in two days!

Wengi mnajua msimamo wangu; ushauri ambao ningempa ni kuachana naye. Lkn ninataka Mdogo wangu apate the best ushauri from u guys!

Naomba mnisaidie tumshauri!
Asante na happy holidays!

Ushauri wangu;
"Arudiane na Mmewe" Hiyo ni ajali tu
 
we wataka ndoa ivunjike so hawatamwiba watamchukua.
So msifanye ivo msio na ndoa.

As long as yeye mwanaume ndo mwenye maamuzi, basi atawafuata akijisikia na wala sio hao wasiokuwa na ndoa tu haka wake za watu anaweza kuibuka nao!!!
 
unaona mambo yalivyo? Huwezi niambia mwanaume anayebaka kusitokee michubuko,labda kama anakabamia. Huyo mdogo wake alipanic tu,na hizo kelele zitakuwa ni miguno ya kunogewa. Lakn sperm zinatafutwa kwenye urine? Sperm huwa tunacheki kwenye k,nguo na near by structures kama hajaoga. Cjawahi ckia kwenye mkojo,huko ni upt

Kuna kitu watu huwa wanakimbilia kulaumu na kutochukulia mazingila halisi!! Jamani kabla ya kulaumu sana tuwe tunajalibu kutafuta facts!! kama unamda fuatilia post zangu juu!!
 
jamani, kuna wanaume wengine ni wagonjwa wa mahousegirls, hata kama kazi yake ni kusaidia kupika na kufagia sebuleni, ile siku ya kwanza tu kufika home anae, tena atakuwacha wewe mkewe chumbani umelala atajidai anaangalia sijuwi usalama huko nje milango kama imefungwa sawa sijuwi vimepanda vimeshuka, ukifatiilia yuko na hg sebuleni anamla uroda. hivi vitu havina formula tuombe tu vipite mbali.
 
Nisinge mlaumu sana HG, whether in opportunist or not. Issue ni husband; kwani ma-opportunist ni maHG tu? Mwanaume asipokuwa na msimamo atatembea hata na mama mkwe wake

...fab!....hii ni funga mjadala kwenye kesi hii,....Kaunga, ushauri huu ndio unaopaswa kumshauri mdogo wako.
 
Back
Top Bottom