Nitajaribu kumshauri kuhusu kuyamaliza; but she will get my total support akiamua vyovyote! She is a strong woman naimani she will recover.
The boss you might be right to some extent, though l have never seen my father raising a finger to my mother, a voice yes! Cheating, well yes hadi waliseparate for 6 months, lkn ilichangiwa kwa kiasi kikubwa na my aunties!
You are definetely right about founding wanaume wapole boring! Lkn kinyume cha upole sio kuwa abusive! I am attracted to mature, fun loving guys, bahati mbaya wengi wanakuwa vicheche!
Ni kabinti kadogo, kamebakwa! Majirani walisikia kakikataa na ndio wakampigia simu Mdogo wangu!
Hayo mambo anatakiwa kufanyia nje ya hapo nyumbani, LAKINI HADI KUBAKA?
Are you sure shemeji yako akili zake ni sawa?
Nyumba ya kwao haijaisha vizuri (madirisha ni grill na wavu); alipigiwa Simu hosp si mbali, akamkuta binti bado analia!
Lakini huu ni upande mmoja wa shilingi, Da Kaunga isijeikawa mdogo wako anamnyima shemeji haki yake! Kaamua kujinyakulia kwa nguvu kutimiza haja zake!
and abusive guys tend to be good in bed...
that is ur weakness i guess....lol
Makosa mengine sio ya kuendekeza. Kubaka ni kosa kubwa sana!Sio hivyo The Boss,kumbuka kosa si kosa bali kosa ni kurudia kosa,kumbuka sote ni wadhaifu na kuna wakati shetani anatuzidi nguvu hata Yesu alisema kwa yule mwanamke kuwa Asiye na dhambi na ampige huyu mama kwa mawe....je nani msafi kati ya wanadamu?????
The Boss, hah inawezekana but sio wote bana. Some of them are poor performers as well!and abusive guys tend to be good in bed...
that is ur weakness i guess....lol
Sorry nilipata wageni; ngoja nijaribu kujibu nitakayoyaweza!
Ndoa yao ina kama miaka 4 sasa (uchumba wa 3yrs); hawajabahatika kupata mtoto Mdogo wangu ana shida kwenye mirija na mumewe ana low sperm count.
Last time tumeonana na mdogo wangu kwenye msiba (complains za infedality zilikuwepo). Mumewe anafanya kazi kwenye machimbo (geita) hivyo huonana weekend (l am sure lazima atakuwa na mtu kule)
Kibinti kilichobakwa kiko less than 16yrs; mdogo wangu alitaka kumpeleka hospital lakini kwa madai yake mume aliwafukuza wote; binti yuko kwao, mdogo wangu alilala kwa shoga zake. Imebidi nimtumie Mpesa ili apate hata kula. Nyumba imefungwa, mume karudi machimboni, nimemwambia avunje ili aingie. (wamejenga wote)
Ashadii; l know na ndio maana nimeomba kupata ushauri (same story ilihappen to me; nikuonesha SMS aliyonitumia usiku; alirefer to my issue). Kwangu mimi pamoja na kwamba ilkuwa the first incident niliend relationship; na sijuitii.
Is not an excuse kwetu but kama nia yake ilikuwa ni kumwuumiza mdogo wako kwa nia ya kulipa kisasi, unadhani angeenda mbali dada?Is it an excuse? If it was a case si angetafuta mdada huko machimboni; afterall anarudi nyumbani weekend tu! Kabinti kadogo kweli? Kama ameeathirika si muuaji huyo? They are not bythe way!
Unajua mwanzoni nilitamani wasameheane ila mh hapana kwa hapo mi naona vyovyote tu sawa!Kwa hii reaction ya shemeji yako, mpelekeni police. Mkumbushe mdogo wako kuwa wakati anafikiria maisha yake afikirie pia maisha ya huyo binti wa watu.
Mwanaume huyo ametenda kosa na bado anaonyesha dharau na ubabe. Hizi ni dalili tosha kuwa akisamehewa ataufanya ndio mchezo wake.
Sorry nilipata wageni; ngoja nijaribu kujibu nitakayoyaweza!
Ndoa yao ina kama miaka 4 sasa (uchumba wa 3yrs); hawajabahatika kupata mtoto Mdogo wangu ana shida kwenye mirija na mumewe ana low sperm count.
Last time tumeonana na mdogo wangu kwenye msiba (complains za infedality zilikuwepo). Mumewe anafanya kazi kwenye machimbo (geita) hivyo huonana weekend (l am sure lazima atakuwa na mtu kule)
Kibinti kilichobakwa kiko less than 16yrs; mdogo wangu alitaka kumpeleka hospital lakini kwa madai yake mume aliwafukuza wote; binti yuko kwao, mdogo wangu alilala kwa shoga zake. Imebidi nimtumie Mpesa ili apate hata kula. Nyumba imefungwa, mume karudi machimboni, nimemwambia avunje ili aingie. (wamejenga wote)
Ashadii; l know na ndio maana nimeomba kupata ushauri (same story ilihappen to me; nikuonesha SMS aliyonitumia usiku; alirefer to my issue). Kwangu mimi pamoja na kwamba ilkuwa the first incident niliend relationship; na sijuitii.
kama ishu ni kubaka,
na nyinyi mnapenda haki
basi mgeanzia kituo cha polisi kwanza
huyo 'mhalifu' akamatwe.mengine yatakuja baadae...
Unajua mwanzoni sikujua km hali ni critical sana, Mwali kwa sasa mi sitetei tena jamaa si mstaarabu tena akamatwe tu na kushtakiwa ikibidi km ushaidi bado unaweza kupatikanaMakosa mengine sio ya kuendekeza. Kubaka ni kosa kubwa sana!