Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
we Lizzy kaa kimya
hujui hata utamu wa mume mbakaji
acha watu wasuluhishe ndoa
naona unammendea sana
Huo "utamu" na unipite tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we Lizzy kaa kimya
hujui hata utamu wa mume mbakaji
acha watu wasuluhishe ndoa
naona unammendea sana
Two mistakes do not make one right. Funzo hili ni muhimu sana kwenye maisha...hata hivyo tuangalie tunasaidiaje ndoa hii kuliko kukimbilia kwenye quick fixes. Inachoonyesha hapa kuna tatizo kwenye ndoa au kina tatizo la kimaadili kwa huyu bwana. Lakini maji yameshamwagika ni lazima tutafute a very good clear cut solution. Kama ni mkristo au anaamini mafundisho ya biblia ningemshauri biblically, jambo la kwanza huyu bibie amsamehe mumewe. Akumbuke ni mara ngapi yeye amekosea wengine, je, ingekuwa solution ya haraka kwenye kila kosa ni kiachana basi hata yeye huenda angeshafukuzwa kazi, angesha kanwa na wazazi nk. Asamehe. Kwa binti mtendwa naye anapaswa kusamehe na kiwasamehe wanaume wote. Wengi wamebaki na uchungu wa ndani kwa wanau,e wote kwa ajili ya mwanaume mmoja aliyemtenda vibaya. Hii haitamtendea mema. Binti anapaswa kuondoka hapo nyumbani ili kupunguza msongo wa mawazo na kuanza maisha mengine na kuwapa mume na mke nafasi ya kutengeneza ndoa yao upya. Mama mwenye ndoa yake a-revisit priorities zake. Anao muda wa kutosha na mumewe au amekuwa mama Bsy? Anamuda wa kuzungumza na mumewe na kufanya recreations za kutosha au ni mama na jiko, mama na kazi na kuyaacha majukumu mengine kwa wasaidizi? Ni yeye anayeandaa chakula na kumtengea mumewe au ni wasaidizi? Biblia inasema mke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Kutafuta kunapozidi vipimo lazima tujiulize ili nani aje avifaidi? Lini? Mnaweza mkatafuta at the expense of your relationship mkaishia kupoteza vyote. Kumbuka unaweza ukapata kazi na biashara nyingine wakati wowote lakini hakuna mbadala wa ndoa. Kwa mwanaume anahitaji kuonyeshwa amesamehewa tu atajirudi mwenyewe. Aidha mngepata spiritual counsellor kwa watu hao ingesaidia sana. Mungu wa amani na kupe amani ili uwe sehemu ya suluhisho na si kiwa sehemu ya tatizo. Nawasilisha kwa ufupi toka simu ya mkononiWana MMU
Natumaini mlikuwa na blessed Xmas? Sio hivyo kwa mdogo wangu, ambaye ni nurse ambaye baada ya kutoka mapema night shift alimfumania mumewe akimbaka msichana wa kazi. Amelazimika kuchukua likizo ili areflect; msimamo wake ni kuend ndoa ya kikatoliki.
Nimemwambia aje kwangu (likizo) nimshauri; she is coming in two days!
Wengi mnajua msimamo wangu; ushauri ambao ningempa ni kuachana naye. Lkn ninataka Mdogo wangu apate the best ushauri from u guys!
Naomba mnisaidie tumshauri!
Asante na happy holidays!
Kwahiyo watu wanataka wamuibe kwa matumaini kwamba atajirekebisha na kuanza "kuplay mume mwema" ipasavyo?
Two mistakes do not make one right. Funzo hili ni muhimu sana kwenye maisha...hata hivyo tuangalie tunasaidiaje ndoa hii kuliko kukimbilia kwenye quick fixes. Inachoonyesha hapa kuna tatizo kwenye ndoa au kina tatizo la kimaadili kwa huyu bwana. Lakini maji yameshamwagika ni lazima tutafute a very good clear cut solution. Kama ni mkristo au anaamini mafundisho ya biblia ningemshauri biblically, jambo la kwanza huyu bibie amsamehe mumewe. Akumbuke ni mara ngapi yeye amekosea wengine, je, ingekuwa solution ya haraka kwenye kila kosa ni kiachana basi hata yeye huenda angeshafukuzwa kazi, angesha kanwa na wazazi nk. Asamehe. Kwa binti mtendwa naye anapaswa kusamehe na kiwasamehe wanaume wote. Wengi wamebaki na uchungu wa ndani kwa wanau,e wote kwa ajili ya mwanaume mmoja aliyemtenda vibaya. Hii haitamtendea mema. Binti anapaswa kuondoka hapo nyumbani ili kupunguza msongo wa mawazo na kuanza maisha mengine na kuwapa mume na mke nafasi ya kutengeneza ndoa yao upya. Mama mwenye ndoa yake a-revisit priorities zake. Anao muda wa kutosha na mumewe au amekuwa mama Bsy? Anamuda wa kuzungumza na mumewe na kufanya recreations za kutosha au ni mama na jiko, mama na kazi na kuyaacha majukumu mengine kwa wasaidizi? Ni yeye anayeandaa chakula na kumtengea mumewe au ni wasaidizi? Biblia inasema mke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Kutafuta kunapozidi vipimo lazima tujiulize ili nani aje avifaidi? Lini? Mnaweza mkatafuta at the expense of your relationship mkaishia kupoteza vyote. Kumbuka unaweza ukapata kazi na biashara nyingine wakati wowote lakini hakuna mbadala wa ndoa. Kwa mwanaume anahitaji kuonyeshwa amesamehewa tu atajirudi mwenyewe. Aidha mngepata spiritual counsellor kwa watu hao ingesaidia sana. Mungu wa amani na kupe amani ili uwe sehemu ya suluhisho na si kuwa sehemu ya tatizo. Nawasilisha kwa ufupi toka simu ya mkononi
Huo "utamu" na unipite tu.
Naomba tuheshimiane tafadhali!!
Hapa tu ndio huwa pananikatisha tamaa mie kuendeleza mijadala!! Sasa jazba zinahusiana nini na nilichokiandika my dear, au umejisikia tu kunisemea hayo??
lizzy
naomba utizame hili jambo kwa umakini jaman.
mpaka sasa naamini kishajirekibisha so atakua ni mume bora, nadhan waendeletu na mamsapu wake wale raha ati!
lizzyNimetazama sana.Sema sitaki kuwa mmoja wa wale wanawake wanaoishi na wanaume wanaoMOLEST watoto wao, kisa mapenzi.
Kwa uhakika gani ndugu?? Kuna wanaume wanafiki balaa, yaani hajutii kosa alilolifanya bali anajuta na kujilaumu kwa 'nini amekamatwa'!!! Kwa huyu wa hivi wala usitarajie kujirekebisha, bali tarajia kwamba atatafuta njia mbadala ya kumfanya asifumaniwe tena!
Kwahiyo ukishajua huyo mtu ni wa ajabu unatolerate kwasababu hukuchagua kua na mtu wa aina hiyo?lizzy
Wadhani unapanga kua na wanaume wa aina hiyo, hilo nijambo laweza tokea wakati wowote ata kwa yule unayemwamini sana.
Ndo ujue binadamu ni binadamu tu, yuko na mapungufu kadhaa ambayo yanasubiri muda wake wa kujidhihirisha.
Binadamu si malaika ndugu
it's ok.kapipi, labda ni mtazamo wangu tu mkuu, haya tuendele na mjadala.......!
Two mistakes do not make one right. Funzo hili ni muhimu sana kwenye maisha...hata hivyo tuangalie tunasaidiaje ndoa hii kuliko kukimbilia kwenye quick fixes. Inachoonyesha hapa kuna tatizo kwenye ndoa au kina tatizo la kimaadili kwa huyu bwana. Lakini maji yameshamwagika ni lazima tutafute a very good clear cut solution. Kama ni mkristo au anaamini mafundisho ya biblia ningemshauri biblically, jambo la kwanza huyu bibie amsamehe mumewe. Akumbuke ni mara ngapi yeye amekosea wengine, je, ingekuwa solution ya haraka kwenye kila kosa ni kiachana basi hata yeye huenda angeshafukuzwa kazi, angesha kanwa na wazazi nk. Asamehe. Kwa binti mtendwa naye anapaswa kusamehe na kiwasamehe wanaume wote. Wengi wamebaki na uchungu wa ndani kwa wanau,e wote kwa ajili ya mwanaume mmoja aliyemtenda vibaya. Hii haitamtendea mema. Binti anapaswa kuondoka hapo nyumbani ili kupunguza msongo wa mawazo na kuanza maisha mengine na kuwapa mume na mke nafasi ya kutengeneza ndoa yao upya. Mama mwenye ndoa yake a-revisit priorities zake. Anao muda wa kutosha na mumewe au amekuwa mama Bsy? Anamuda wa kuzungumza na mumewe na kufanya recreations za kutosha au ni mama na jiko, mama na kazi na kuyaacha majukumu mengine kwa wasaidizi? Ni yeye anayeandaa chakula na kumtengea mumewe au ni wasaidizi? Biblia inasema mke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Kutafuta kunapozidi vipimo lazima tujiulize ili nani aje avifaidi? Lini? Mnaweza mkatafuta at the expense of your relationship mkaishia kupoteza vyote. Kumbuka unaweza ukapata kazi na biashara nyingine wakati wowote lakini hakuna mbadala wa ndoa. Kwa mwanaume anahitaji kuonyeshwa amesamehewa tu atajirudi mwenyewe. Aidha mngepata spiritual counsellor kwa watu hao ingesaidia sana. Mungu wa amani na kupe amani ili uwe sehemu ya suluhisho na si kiwa sehemu ya tatizo. Nawasilisha kwa ufupi toka simu ya mkononi
Kwahiyo ukishajua huyo mtu ni wa ajabu unatolerate kwasababu hukuchagua kua na mtu wa aina hiyo?
Kwasababu una mapungufu yako utamwacha mwanaume aonyeshe yake kwa mwanao?
Hivi swala la kuibiwa kale ka keki mnadhani ni rahisi hivyo? Kweli kuvunja ndoa shuguli,lakin je huyo mke ana play part yake kama mke vilivyo kumlidhisha mmewe?
Wengine tunafanya kila kitu kwa kiasi.Hongera wewe mwenye uvumilivu bila huruma.Kwani kiapo cha ndoa kinavo sema ntavumilia kwa shida na raha {for better for worse} we ulidhaniaje?
Ndo mana leo hii ndoa hazidumu coz wanandoa wanataka raha tu,nakusahau upande wa matatizo hivyo kukosa uvumilivu kama unavoonyesha wewe, si kitu kizuri ndugu.
Huyo mume yeye ANALIDHIKA?
Wengine tunafanya kila kitu kwa kiasi.Hongera wewe mwenye uvumilivu bila huruma.
Mpaka hapa nimeshapoteza nilichokuwa nahitaji kukijadili, naomba tuelendelee kwa reply tu!! Ila kusema kweli hujanitendea haki, ningefurahi kama ungenikosoa ili nipate kuiona point na sio kusema ni jazba tu, kwa sababu mambo kama haya si machanga sana kwangu!!