Dr Mathew Togolani Mndeme
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 201
- 810
Asante kwa kunijulisha. Ila nashawishika hatujafanana katika tulichoandika pamoja na kwamba mada inafanana.Umefafanua vizuri. Lakini hii topic ishaletwa hapa
Vichwa vya habari tu"Word to Word" ndio hamjafanana. Lakin content ni hizo hizo.Asante kwa kunijulisha. Ila nashawishika hatujafanana katika tulichoandika pamoja na kwamba mada inafanana.
Vichwa vya habari tu"Word to Word" ndio hamjafanana. Lakin content ni hizo hizo.
Kenya ameonyesha rangi yake halisi. Sababu ni ya kiuchumi anatumia njia za kizamani zilizopitwa na wakati.Kenya hawana jipya. Wao ndo walisababisha EAC 1967 ikafa 1977. Wivu wao walitaka makao makuu ya Bandari na usafirishaji yawe kwao na sio Dar es salaam.
Wakataka makao makuu ya Tele mawasiliano na posta vitoke Kampala viwe Nairobi ,kisa tu wao wana uchumi imara. Walitufanya tuwe tegemezi tukawa tunaimport kwao bado hawakuridhika. Tanzania tusikubali sasa ni mwendo wa Tic for Tac. Hii ni 2020 sio 1969
EAC haina mashiko. Historia tunaijuia. EAC 1967-1977 ilidumu miaka kumi tu. Kenya hawajachange. EAC mpya haina maana. Nakuunga mkono bora tujikite kwenye SADC tu.Kenya ameonyesha rangi yake harisi.
Sababu ni ya kiuchumi anatumia njia za kizamani zilizopitwa na wakati.
Sio bora kwa sisi kukuza mgogoro lakini tujiandae kutoka Jumuiya na kuhimalisha uhusiano wa nchi za SADAC,pammoja na Uganda,Sudan,Burundi na Rwanda.