KAMIKAZE zimebadili mwenendo wa vita ya Ukraine

Chanzo cha jina kamikaze wala si rhumba bali ni neno la Kijapan na ni njia waliyotumia wanajeshi wa kijapan kwenye vita ya pili ya dunia ambapo walikuwa wakielekeza ndege zao kugonga meli au sehemu waliko maadui wao ili kusababisha mlipuko mkubwa kwasababu ya mafuta ya ndege. In short walikuwa wakijitoa mhanga.
So hizo drone zinaitwa kamikaze kwa sababu ni part ya bomu lenyewe. Ni tofauti na drone nyingine ambazo hiachia bomu ila hizi zinajitoa mhanga kama ma pilot wa kijapan
Kwani mwandishi kasemaje, nyinyi ndio mnafeli mitihani Kwa kushindwa kusoma maelekezo vizuri, mnatuchosha tu, pumbav
 
Chanzo cha jina kamikaze wala si rhumba bali ni neno la Kijapan na ni njia waliyotumia wanajeshi wa kijapan kwenye vita ya pili ya dunia ambapo walikuwa wakielekeza ndege zao kugonga meli au sehemu waliko maadui wao ili kusababisha mlipuko mkubwa kwasababu ya mafuta ya ndege. In short walikuwa wakijitoa mhanga.
So hizo drone zinaitwa kamikaze kwa sababu ni part ya bomu lenyewe. Ni tofauti na drone nyingine ambazo hiachia bomu ila hizi zinajitoa mhanga kama ma pilot wa kijapan
Mkuu umekuja faster sana,pumua kidogo kisha rudia kusoma utamuelewa tu mleta mada.
 
Chanzo cha jina kamikaze wala si rhumba bali ni neno la Kijapan na ni njia waliyotumia wanajeshi wa kijapan kwenye vita ya pili ya dunia ambapo walikuwa wakielekeza ndege zao kugonga meli au sehemu waliko maadui wao ili kusababisha mlipuko mkubwa kwasababu ya mafuta ya ndege. In short walikuwa wakijitoa mhanga.
So hizo drone zinaitwa kamikaze kwa sababu ni part ya bomu lenyewe. Ni tofauti na drone nyingine ambazo hiachia bomu ila hizi zinajitoa mhanga kama ma pilot wa kijapan
Umesoma vizuri bandiko lake
 
Mwandishi kaandika vizuri sana aisee ulichoshindwa kuelewa ni nini hapo Rhumba na kamikaze wapi na wapi katumia Rhumba sehemu ya uandishi wake tu wala sio kutohoa jina la kamikaze...
 
aise ,watu wanatofautina pakubwa kuelewa ,mleta Uzi hakuna pahala kasema rhumba ndo mwazilishi wa kamikaze ,kasema ni Japan ,wewe Tena umekuja na maneno yako
Mkuu kwa sasa utaalam wa kuandika na kusoma unatokomea kusikojulikana. Mathalan, unaandika kuhusu kitu fulani, msomaji anomba ushahidi wa ulichoandika. Ukimtolea ushahidi wa ulichoandika hasomi anaanza kusema wewe ni mwongo mbona siajaona walipoandika hayo uliyokuwa umetuandikia kwenye bandiko lako. Sasa ndio sawa na huyu mwenzake ameandika kwa mtiririko mzuri wa kumpa hamu msomaji, yeye anakuja na comment ya ajabu. Ushauri, tupunguze kusoma kwenye media channels za facebook, whatsapp, insta etc Turudi kwenye utamaduni wa kusoma Vitabu na Journals.
 
Back
Top Bottom