Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Hao wakubwa ni akina nani? kwaio hii nchi ukijiwekea standard zako za namna ya kuishi na kufanya kazi ama biashara ama kufanya shuhuli yoyote halali ya kukutoa kwenye umaskini unajeuka kua adui na kwamba wanaotaka ufanye kama wao au uwape rushwa au uwalambe matakoh usipofanya hivyo wanakufundisha adabu?! Ni adabu ipi hio.Kabisa mkuu. Huyu dogo ana zero discipline anajiona kamaliza kwenye ulimwengu wa boxing. kumbe hata Asset ya million 500 hana. Wacha wakubwa wamfundishe adabu
Rubbish talk.