Hao wakubwa ni akina nani? kwaio hii nchi ukijiwekea standard zako za namna ya kuishi na kufanya kazi ama biashara ama kufanya shuhuli yoyote halali ya kukutoa kwenye umaskini unajeuka kua adui na kwamba wanaotaka ufanye kama wao au uwape rushwa au uwalambe matakoh usipofanya hivyo wanakufundisha adabu?! Ni adabu ipi hio.Kabisa mkuu. Huyu dogo ana zero discipline anajiona kamaliza kwenye ulimwengu wa boxing. kumbe hata Asset ya million 500 hana. Wacha wakubwa wamfundishe adabu
Endelea kuugulia maumivu. Nchi ina wenyewe buda. Akashtaki anapoweza fuckenHao wakubwa ni akina nani? kwaio hii nchi ukijiwekea standard zako za namna ya kuishi na kufanya kazi ama biashara ama kufanya shuhuli yoyote halali ya kukutoa kwenye umaskini unajeuka kua adui na kwamba wanaotaka ufanye kama wao au uwape rushwa au uwalambe matakoh usipofanya hivyo wanakufundisha adabu?! Ni adabu ipi hio.
Rubbish talk.
Akaimbe Taarabu au BaikokoMwakinyo aachane na kupigana atafute kqzi nyingine
Sawa mchawi naona umefurahi. Namin utajiriwako umeongezeka maradufu.Endelea kuugulia maumivu. Nchi ina wenyewe buda. Akashtaki anapoweza fucken
Mchawi mama yako. Narudia kukuambia tena Nchi ina wenyewe mkashtaki popote fuckenSawa mchawi naona umefurahi. Namin utajiriwako umeongezeka maradufu.
. [emoji23][emoji706]
Nimeona wanafanya maandalizi kipute kipigwe usiku huu huu kabla hakujakucha sasa sijui itakua kimya kimya ama watu wataingia bure ama kwa kununua vinywaji
standard zipi au za kunyang'anywa mikanda au za kushindwa kucheza kisa viatu? au maneno mengi mtandaoni.....Heshima na unyeyekevu huku unawafaidisha raia wengine nao ni ujinga. Mwakinyo acha ajiwekee standard zake, wapiganisheni kina Twaha hovyo hovyo
Dharau za kishamba sana huyo dogo asipobadilika carrier yake ndio kwishnei tena. Acha wakubwa wamnyooshe
standard zipi au za kunyang'anywa mikanda au za kushindwa kucheza kisa viatu? au maneno mengi mtandaoni.....
angekua bora kama anavyojinasibu watu wangewekeza pesa ila wanaona kabisa pale hamna kitu
Azam wamehusika vp hapo
sinaga huo ujinga mkuu wa kuangalia vitu vya ajabu bora nikeshe kwenye nyapu sio kumuangalia mcheza baikoko wa kitangaWe mwenyewe hujalala umekesha unamsubiria apigane...
ajigambe na uwezo awe nao..... mauzauza anayofanyiwa angekua pro mzuri asingeletewa mapicha picha haya ila watu wanajua uwezo wake mdogo wanaamua kuleta figisu....Boxing ni mchezo wa majigambo, hao wandaaji ndio wa kupelekewa lawama.. Mwakinyo hausiki na chochote, mwenyewe kapotezewa muda na nguvu...
Sisi watanzania ni wajinga sana, tunaacha kupeleka lawana panapostahili tunamlaumu Mwakinyo, tungekuwa serious tungerudishiwa viingilio vyetu.
Nchi imejaa wapuuzi sana hiii, unamchukia mtu humjui, hakuju... Pumbafu.
Sasa hilo sio kosa lao, bc na wao waombe fidia kwa hao waliokwamisha pambano.Azam wametutapeli wateja wao.
Nimenunua kifurushi kwa ajili ya hili pambano ili wafanyakazi wangu wanaonikusanyia ufuta huko Kisegese waweze kuliangalia baada ya kazi ngumu ya kutwa nzima.
Wananifidiaje!?