Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

MSAADA, Mfano Kiongozi akipewa advance ya dili kubwa, ila kabla dili hajalikamilisha akatumbuliwa. Inakuaje hiyo?
 
Haya wapinzani wajiandae kubambikiwa kesi ngumu zaidi. Yule shetani Kingai kapelekwa jikoni kabisa kuwa mpika majungu.
 
Kuna mwanafalsafa aliwahi sema

"free things are never served with respect, learn to hustle"

Leo hii Sirro anakua balozi same as Polepole tena Zimbabwe huku akina Hoyce Temu wakipewa balozi nchi nzito nzito huko Ulaya.
Kwani mabalozi wanatofautiana mishahara na stahili nyingine!? Naona Kama unajichekesha mwenyewe! Maana Sirro hakuuokota u_IGP.
 
Hivi Kingai ni mfano wa kuigwa ndani ya serikali hii?

Tukisema hili ni pambo la serikali tunakosea?

Na wakati huo huo, akina Mbowe wanaamini wanazungumza na mtu makini kuhusu maswala ya nchi?
Aliyepewa kapewa,ndio ivyo mungu kashamkadiria
 
Ulitaka uwe wewe?
Huu ni upumbavu, jadili hoja iliyotolewa na hayo ni maoni yangu nawe upo free kuchangia,dot.com wengi wapo out of touch na reality on the ground, ona wanavyolalama kuhusu ajira za muda za sensa!
 
chawa kazini
 
Kuna mwanafalsafa aliwahi sema

"free things are never served with respect, learn to hustle"

Leo hii Sirro anakua balozi same as Polepole tena Zimbabwe huku akina Hoyce Temu wakipewa balozi nchi nzito nzito huko Ulaya.
Siro umri umeenda anaendelea kustaafu kwa neema,

Jililie wewe na ukoo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…