Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,780
- 6,133
MSAADA, Mfano Kiongozi akipewa advance ya dili kubwa, ila kabla dili hajalikamilisha akatumbuliwa. Inakuaje hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mabalozi wanatofautiana mishahara na stahili nyingine!? Naona Kama unajichekesha mwenyewe! Maana Sirro hakuuokota u_IGP.Kuna mwanafalsafa aliwahi sema
"free things are never served with respect, learn to hustle"
Leo hii Sirro anakua balozi same as Polepole tena Zimbabwe huku akina Hoyce Temu wakipewa balozi nchi nzito nzito huko Ulaya.
Moja wa Mwenye nchi a.k.a mwananchi,kwani wewe mrundi🤔We ni nani mpaka umkubali?
Hahahaha Unamtoa sirro mapema mabeyo anakiwashaIlibidi atoke kwanza Mabeyo ndio afuate Sirro baadae Diwani..... Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe
Aliyepewa kapewa,ndio ivyo mungu kashamkadiriaHivi Kingai ni mfano wa kuigwa ndani ya serikali hii?
Tukisema hili ni pambo la serikali tunakosea?
Na wakati huo huo, akina Mbowe wanaamini wanazungumza na mtu makini kuhusu maswala ya nchi?
Huu ni upumbavu, jadili hoja iliyotolewa na hayo ni maoni yangu nawe upo free kuchangia,dot.com wengi wapo out of touch na reality on the ground, ona wanavyolalama kuhusu ajira za muda za sensa!Ulitaka uwe wewe?
Amepandishwa cheo kwa maana amestaafu na kupewa cheo kingine, Bado anakula mema ya Nchi huyo Mzee, wenzake kina mahita ,mwema nk hawakupewa ubaloziSirro ametupwa shimoni
Demotion in capital lettersDimosheni
Dr Bashiru hajapanda kulingana na cheo chake alichokuwa nacho awali (KATIBU MKUU KIONGOZI).Kwamba Balozi Dr Bashiru kapanda cheo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mkuu UMEANGALIA VIZURI tu ndio maana umepata presha
chawa kaziniRais yoyote mwenye Akili Timamu ni lazima tu atateua Watu wa kutoka Kanda Maalum ( Kwetu Mkoani Mara ) kushika hizi Nafasi za Taasisi Nyeti na za Kimedani.
Kiulinzi na Kiusalama nchi ikiwa chini ya wana Medani wa Mkoani Mara ( Musoma ) itakuwa salama muda wote na Wananchi watafurahi.
Hongera yako sana Poti wangu wa Kikurya na Kizanaki IGP Wambura ila usiache tu mara moja moja kuja Kijiweni Mbezi Beach kwa Mzee Juma ( Mpwae Mzee Nimrod Mkono) kula Nyama na kupiga nasi Stori Nduguzo Wazanaki.
Pia usiache kwenda kuwatembelea Wazee wako unaowaheshimu na Kuwapenda kutokana na Utendaji wao mkubwa na Uliotukuka wenye Uzalendo kwa Taifa hili Wazanaki Wawili akina Mzee Butiku pale Kwake Mabwepande na yule Mwingine ( namhifadhi ) aishiye Jirani na Coco Beach ambao ndiyo walikuwa Mwalimu Nyerere's Think Tanks na bado wanaendelea kutumika Kiushauri mpaka sasa.
Wana Mara ( Musoma ) tunakuombea Majukumu mapya mema, Usiogope, Usitishwe, Jiamini, usimuangushe Rais Samia na mtangulize mno Mwenyezi Mungu kwani najua kuanzia sasa idadi ya Maadui zako itaongezeka.
Mengine nitaongea nawe Inbox Oky?
Hapa samia amechemka kingai huyu asiyefahamu DPO loooo hii ni fadhila kwa aliyoyafanya kwa mbowe.Kingai DCI???AMA SIKUANGAKIA VIZURI
Huna akiliMoja wa Mwenye nchi a.k.a mwananchi,kwani wewe mrundi[emoji848]
DPO ndio nn? Au ili mradi na ww uchangie?Hapa samia amechemka kingai huyu asiyefahamu DPO loooo hii ni fadhila kwa aliyoyafanya kwa mbowe.
Umejuaje kama Kesi ya kina Mbowe haina uhusiano na uteuzi wake, wewe ndiye uliyemteua??Sio kweli..Kingai yupo miaka mingi jeshini, Kesi ya juzi haina uhusiano na kupanda kwake.
Siro umri umeenda anaendelea kustaafu kwa neema,Kuna mwanafalsafa aliwahi sema
"free things are never served with respect, learn to hustle"
Leo hii Sirro anakua balozi same as Polepole tena Zimbabwe huku akina Hoyce Temu wakipewa balozi nchi nzito nzito huko Ulaya.
Kwanza muulize akiwa Zimbabwe Siro atapoteza ninniKwani Sirro yeye ni malaika? Kwamba awe anapewa vitu vizuri tu tofauti na wengine?
Neema Zimbabwe??🤣🤣🤣Siro umri umeenda anaendelea kustaafu kwa neema,
Jililie wewe na ukoo wako