Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Kuna mwanafalsafa aliwahi sema

"free things are never served with respect, learn to hustle"

Leo hii Sirro anakua balozi same as Polepole tena Zimbabwe huku akina Hoyce Temu wakipewa balozi nchi nzito nzito huko Ulaya.
Sirro kwa ukati;li ule hawezi kupelekwa nchi za Mabeberu wakamkubali. Itakuwa yuko blacklisted ....... ndiyo maana wanapelekwa nchi Rafiki za Tanzania kama Zimbabwe, Namibia .... huko kwingine labda Cuba, China, North Korea au Venezuela.
 
Sirro Barozi Zimbambwe?🤔

😂😂😂😂😂
 
Kuna chizi The Sunk Cost Fallacy hajaja kutia neno.
 
Naona Sirro anakwenda +263 kama Adadi Rajab wakati ule wa JK. Wambura simjui lakini kuhusu Kingai, mama amejishushia credit.
ulitaka apangwe nani?!
jifunze adabu na heshima kwa Rais.
Rais huwa hapangiwi wala hateui mtu ili kukufurahisha wewe na kikundi chako.
 
Siro umri umeenda anaendelea kustaafu kwa neema,

Jililie wewe na ukoo wako
Sina ukoo wa kuulilia,
Baba yangu alikua mkurugenzi NMC enzi hizo na baadae katibu mkuu wizarani... my mom alikua RDD kwahiyo sina shida ya kumlilia mtu.
 
Kumbe kuwa barozi lazima uwe askari au wasiojulikana?
Basi itakuwa hata kale kajamaa kigeugeu(Haraka haraka) kalikopelekwa ubarozi wa Malawi katakuwa ka afwande[emoji1787]
Huenda ikawa hivyo! Hata mataifa yaliyoendelea kama sikosei mabarozi wao ni watu wasiojulikana!
 
Kama yupi anbaye hakustaafishwa kama yeye?
Wewe ni mgeni kwenye kupata taarifa za wakuu wa majeshi yetu? Ok ngoja nikutajie hawa wa karibuni kama retired IGP Mahita, retired IGP Mwema. Nimekusadia au bado kijana?
 
Unaletaje Uzi bila picha aise!
 
Kwani mbaya wenu si alishakufa?
Wazalendo wa kweli wa nchi hii, mbaya wetu ni ccm! Sasa uniambie hapa hiyo ccm imekufa lini ili nichinje jogoo na kulila na wanangu?

Maana ukombozi wa kweli hatimaye utakuwa umepatikana.
 
Sina ukoo wa kuulilia,
Baba yangu alikua mkurugenzi NMC enzi hizo na baadae katibu mkuu wizarani... my mom alikua RDD kwahiyo sina shida ya kumlilia mtu.
Ungekua huna shida usingekua unalialia humu
 
Wambura anastahili na nafasi hiyo ya uIGP imetendewa haki. Aliye mchangua Wambura na waliomfanyia vetting ndio huyo huyo na hao hao ndio waliofanya kwa Kingai. Pongezi kwa Mh Rais SSH kila siku ziendavyo kazi ya nchi unaimudu kutoka kiwango kimoja kwenda kingine cha juu.
 
Aliwasulubu CDM wasio na silaha, kisha kawashinda wenye silaha kwenye mpaka na Msumbiji, hiyo ni akili au matope?
Wote aliwasurubu! Kule msumbiji aliwakomesha na machadema nao akawakomesha!

Unaonaje lakini huu uteuzi wa kingai? Haya ni matokeo ya maridhiano kati ya mbowe na hangya
 
Wazalendo wa kweli wa nchi hii, mbaya wetu ni ccm! Sasa uniambie hapa hiyo ccm imekufa lini ili nichinje jogoo na kulila na wanangu?

Maana ukombozi wa kweli hatimaye utakuwa umepatikana.
Kwani wewe siyo bavicha?

Maana kwa mujibu wa bavicha mbaya wao alishakufa na sasa wanapumua
 
Polepole malawi huyu Siro zimbabwe yaani kama ni mimi nakataa uteuzi kutoka IGP wa nchi mpaka unaenda kufanya kazi Zimbabwe, Anyway nampongeza mama ameupiga mwingi sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…