Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Ni walewale wa kila siku kubadirishwa vitengo tu. Kwa Siro hana cha kujutia kwasababu wapo waliotoka kwenye kuwa IGP na ubalozi hawakuuonja asirani.
Usimtie moyo Simon kesha pigwa za uso huo ubalozi hamna lolote hapo
 
Ni kweli atakuwa amelipwa kwa ile kazi ya kidhalimu aliyotumwa kuifanya, kuwatesa kina Adamoo na wenzake.

Viongozi wa CCM hawajawahi kuitakia mema hii nchi, ni wasanii tu, natumai Mbowe next time akikutana na Samia kwenye maridhiano atampongeza kwa huo uteuzi wa Kingai.
 
Rasimu sio katiba.
 

Mbambikia kesi huyo.
 
Huu uteuzi umenajisiwa na uwepo wa jina la mbambikaji kesi Kingai kwenye hiyo orodha 🙄
 
Hakika Rais Mama Samia ameteka mioyo ya watanzania wote.

Amerudisha TABASU la furaha na faraja kwa watanzania wote.

Mungu amlinde na wabaya wote.
 
Tuanzie pale ilipoishia Rasimu itawazwe kuwa katiba!

Zibaki mbili na sio TATU kama CIA,MOSSAD,NCI,M16 na wengineo walivyo fanya utafiti!!

Narudia Tena:-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Rasimu lazima ijadiliwe na bunge la mabadiliko ya katiba ili ipatikane katiba pendekezwa ambayo wananchi tutaipigia kura. Nyie wapinzani mstitake kuleta janja janja za kutaka kuruka steps za muhimu.
 
Wankyo Ranadhan Nyigesa Ndiyo Jahazi Imezama Sasa Hivi
Atastaafu Kwa Cheo Hicho Hicho
Kingai Kigoma Ana Week Anarudi Dodoma
Sijui ni lini tutakuwa serious? Sitaki kuamini kwamba DCI anaweza kuteuliwa ghafla bila kuwa imeandaliwa kwa muda. Sasa kama ilikuwa imeshaandaliwa, mantiki ya kumpeleka Kigoma ilikuwa nini?
 
Rasimu lazima ijadiliwe na bunge la mabadiliko ya katiba ili ipatikane katiba pendekezwa ambayo wananchi tutaipigia kura. Nyie wapinzani mstitake kuleta janja janja za kutaka kuruka steps za muhimu.
Ndio maana ya NENO irudi mezani Sasa iwe Katiba mpya!!

Hata vinyonga wa kijani kama wewe na mimi wengi tunataka Rasimu irudi na sio ule utopolo wa Katiba pendekezwa iliyojaa matakwa ya mafisadi wale!!


Narudia tena

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!
 

Labda kama hujui kwamba aliemteuwa in other hand ni mwenyekiti wa hicho chama pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…