Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Kumbe kuwa barozi lazima uwe askari au wasiojulikana?
Basi itakuwa hata kale kajamaa kigeugeu(Haraka haraka) kalikopelekwa ubarozi wa Malawi katakuwa ka afwande[emoji1787]
Ubalozi no vyeo vya kijeshi mara nyingi, mabalozi wachache sana ndio wanatoka uraiani ila 90% ni kutoka TISS, JWTZ, POLISI na MAGEREZA.

Na hiyo ipo kwa maana kubwa sana, pia wale wahudumu wa kwenye balozi zetu pia huwa TISS karibu 90%.
 
Hivi Kingai ni mfano wa kuigwa ndani ya serikali hii?

Tukisema hili ni pambo la serikali tunakosea?

Na wakati huo huo, akina Mbowe wanaamini wanazungumza na mtu makini kuhusu maswala ya nchi?
Hapo chacha.....
 
Kweli mkuu labda Nami sijaangalia vema!,huyu mh.hawezi hata kuandika simple statement au to secure crime scene ni zero leo hii ni DCI?lini kama nchi tulichukua wrong turn?,badala ya kuangalia alama ya kutuongoza kwenda mbele, our driver akaaona ni alama ya turn left na matokeo yake tumepotea
Ulitaka uwe wewe?
 
Sioni mjadala wa kidini kwenye hii thread, bilashaka Kuna dini moja Wana hekima Sana wenzetu, wanajua Tanzania Ni moja na ya wote, sio watu wakulalamika japo tuna wadhihaki sana
 
Sawa ila katika yeye ni demotion tusidanganyane
Mabalozi wote wana hadhi sawa. Kutoka kuwa IGP kwenda ubalozi umepanda cheo, marupurupu, utulivu na hata unakuwa mwakilishi wa nchi yako huko uendako.

Si unaona sisi tunavyohangaika na matamko ya mabalozi wa Umoja wa Ulaya na Uingereza hapa???
 
Ndio nini Kamanda Sirro hajaaga hata kuaga kama Mabeyot ta

Kweli mkuu labda Nami sijaangalia vema!,huyu mh.hawezi hata kuandika simple statement au to secure crime scene ni zero leo hii ni DCI?lini kama nchi tulichukua wrong turn?,badala ya kuangalia alama ya kutuongoza kwenda mbele, our driver akaaona ni alama ya turn left na matokeo yake tumepotea
Hata Mimi sijamkubali
 
Mabalozi wote wana hadhi sawa. Kutoka kuwa IGP kwenda ubalozi umepanda cheo, marupurupu, utulivu na hata unakuwa mwakilishi wa nchi yako huko uendako.

Si unaona sisi tunavyohangaika na matamko ya mabalozi wa Umoja wa Ulaya na Uingereza hapa???
Bhana ww siro katumbuliwa ila kijesh huwez muacha humu humu ndo mana wanapewa ubalozi wakisubiria mda wa kustaaf jeshi
 
Mabalozi wote wana hadhi sawa. Kutoka kuwa IGP kwenda ubalozi umepanda cheo, marupurupu, utulivu na hata unakuwa mwakilishi wa nchi yako huko uendako.

Si unaona sisi tunavyohangaika na matamko ya mabalozi wa Umoja wa Ulaya na Uingereza hapa???
Kwamba Balozi Dr Bashiru kapanda cheo?
 
Kuna mwanafalsafa aliwahi sema

"free things are never served with respect, learn to hustle"

Leo hii Sirro anakua balozi same as Polepole tena Zimbabwe huku akina Hoyce Temu wakipewa balozi nchi nzito nzito huko Ulaya.
Lakini kwan hizi teuzi ni zawadi
Nafas ipo ya yeye kiwa zimb amepelekwa huko
 
"chuma" hicho!

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
IMG-20220720-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom