maruudaniel
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 888
- 1,073
Bado mmojaDah Sirro kama Sirro ndio mwisho wa enzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mmojaDah Sirro kama Sirro ndio mwisho wa enzi
Ubalozi no vyeo vya kijeshi mara nyingi, mabalozi wachache sana ndio wanatoka uraiani ila 90% ni kutoka TISS, JWTZ, POLISI na MAGEREZA.Kumbe kuwa barozi lazima uwe askari au wasiojulikana?
Basi itakuwa hata kale kajamaa kigeugeu(Haraka haraka) kalikopelekwa ubarozi wa Malawi katakuwa ka afwande[emoji1787]
Hapo chacha.....Hivi Kingai ni mfano wa kuigwa ndani ya serikali hii?
Tukisema hili ni pambo la serikali tunakosea?
Na wakati huo huo, akina Mbowe wanaamini wanazungumza na mtu makini kuhusu maswala ya nchi?
Ulitaka uwe wewe?Kweli mkuu labda Nami sijaangalia vema!,huyu mh.hawezi hata kuandika simple statement au to secure crime scene ni zero leo hii ni DCI?lini kama nchi tulichukua wrong turn?,badala ya kuangalia alama ya kutuongoza kwenda mbele, our driver akaaona ni alama ya turn left na matokeo yake tumepotea
Ni kweliAcha ujinga basi
Huna akili timamu na hujui kazi za mabalozi.Hyo ni demo tu, we ubaloz unaenda kuongoza au kusimamia WaTu wangap??
Kingai ukiacha kesi ya kina Mbowe,yupo vizuri kiutendaji,Kazi NZURI.
Uteuzi wa kingai,umetia doa.
Mabalozi wote wana hadhi sawa. Kutoka kuwa IGP kwenda ubalozi umepanda cheo, marupurupu, utulivu na hata unakuwa mwakilishi wa nchi yako huko uendako.Sawa ila katika yeye ni demotion tusidanganyane
Ndio nini Kamanda Sirro hajaaga hata kuaga kama Mabeyot ta
Hata Mimi sijamkubaliKweli mkuu labda Nami sijaangalia vema!,huyu mh.hawezi hata kuandika simple statement au to secure crime scene ni zero leo hii ni DCI?lini kama nchi tulichukua wrong turn?,badala ya kuangalia alama ya kutuongoza kwenda mbele, our driver akaaona ni alama ya turn left na matokeo yake tumepotea
Bhana ww siro katumbuliwa ila kijesh huwez muacha humu humu ndo mana wanapewa ubalozi wakisubiria mda wa kustaaf jeshiMabalozi wote wana hadhi sawa. Kutoka kuwa IGP kwenda ubalozi umepanda cheo, marupurupu, utulivu na hata unakuwa mwakilishi wa nchi yako huko uendako.
Si unaona sisi tunavyohangaika na matamko ya mabalozi wa Umoja wa Ulaya na Uingereza hapa???
Kwamba Balozi Dr Bashiru kapanda cheo?Mabalozi wote wana hadhi sawa. Kutoka kuwa IGP kwenda ubalozi umepanda cheo, marupurupu, utulivu na hata unakuwa mwakilishi wa nchi yako huko uendako.
Si unaona sisi tunavyohangaika na matamko ya mabalozi wa Umoja wa Ulaya na Uingereza hapa???
Lakini kwan hizi teuzi ni zawadiKuna mwanafalsafa aliwahi sema
"free things are never served with respect, learn to hustle"
Leo hii Sirro anakua balozi same as Polepole tena Zimbabwe huku akina Hoyce Temu wakipewa balozi nchi nzito nzito huko Ulaya.
Na Bora,Kwani huyo ni slow slow style ila Kwa king'aa Kuna kuingia Chaka hapo,sijui?Dooh Siro katumbuliwa
We ni nani mpaka umkubali?Hata Mimi sijamkubali