Sina hakika na ulicholenga hapa; lakini sioni "kukomeshwa" kwa yeyote katika uteuzi uliofanyika. Na siyo kwa huyo Kingai pekee, bali hata kwa hao wengine.Sukuma gang imekomeshwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hakika na ulicholenga hapa; lakini sioni "kukomeshwa" kwa yeyote katika uteuzi uliofanyika. Na siyo kwa huyo Kingai pekee, bali hata kwa hao wengine.Sukuma gang imekomeshwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mziki wa narudi Zimbabwe ni tafsida, nimemtumia Roma kufikisha ujumbe kwa wahusikaRoma yuko USA, au ule muziki ukajua kaenda kuishi Zimbabwe?
Mbona mapolisi wote wanatoka Mara?!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi.
Aliyekuwa IGP Simon Sirro ateulikuwa kuwa balozi nchi Zimbambwe.
Wakati huo huo amefanya mabadiliko ya Makamanda wengine kama inavyoonesha hapa chini
[emoji116][emoji116]
View attachment 2297191View attachment 2297189
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Julai, 2022 amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
Amempandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Mongoso Wambura, aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Nyakoro Sirro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.
Amempangia kituo Balozi Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia.
Amemteua Dkt. Suleiman Haji Suleiman kuwa Balozi. Dkt. Suleiman ni Afisa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Julai, 2022 na uapisho utafanyika leo tarehe 20 Julai, 2022 saa 05:00 Asubuhi Ikulu, Chamwino Dodoma.
Wakati huo huo, Mhe. Rais amewateua wafuatao kushika nyadhifa mbalimbali kwenye Jeshi la Polisi: -
Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Liberati Sabas Materu kuwa Kamishna wa Fedha na Logistiki. Anachukua nafasi ya (CP) Hamad Khamis Hamad.
Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Hamad Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar. Anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji.
Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Awadhi Juma Haji kuwa Mkurugenzi wa Operesheni Makao Makuu;
Amempandisha Cheo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Faustine Constantine Shilogile kuwa Kamishna wa Polisi Jamii. Anachukua nafasi ya CP Mussa Ali Mussa ambaye atapangiwa majukumu mengine.
Amempandisha Cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ramadhan Hamisi Kingai na kumteua kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).
PIA, SOMA: Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi
Ndugu Rudi Shule. RAIS ndo boss wa majeshi yote na anaweza kumuamlisha IGP amteue fulan katika nafas fulan, na hkuna kuvunja Katiba. Kinachoangaliwa ni utawala bora. Kma MTU umemteua MTU mpe nafas atekeleze wajib bila interfearanceWengi hamjui katiba inavyotaka.
Vyeo vya ngazi ya URPC anayeteua ni IGP na si rais hivyo kuteuliwa kwa kingai kuwa RPC kigoma rais hajahusika rais akiingilia uteuajinwa RPC moja kwa moja anakuwa kavunja katiba.
Kamisheni kwa maofisa wengi wa jeshi la polisi wanapewa na Rais ila JWTZ ndio wanapewa na Rais.
Akumbushwe kuwa huko zimba....aendako asijejisahau akatuzalia mtoto aina ya HAMZA!!!!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi.
Aliyekuwa IGP Simon Sirro ateulikuwa kuwa balozi nchi Zimbambwe.
Wakati huo huo amefanya mabadiliko ya Makamanda wengine kama inavyoonesha hapa chini
[emoji116][emoji116]
View attachment 2297191View attachment 2297189
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Julai, 2022 amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
Amempandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Mongoso Wambura, aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Nyakoro Sirro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.
Amempangia kituo Balozi Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia.
Amemteua Dkt. Suleiman Haji Suleiman kuwa Balozi. Dkt. Suleiman ni Afisa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Julai, 2022 na uapisho utafanyika leo tarehe 20 Julai, 2022 saa 05:00 Asubuhi Ikulu, Chamwino Dodoma.
Wakati huo huo, Mhe. Rais amewateua wafuatao kushika nyadhifa mbalimbali kwenye Jeshi la Polisi: -
Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Liberati Sabas Materu kuwa Kamishna wa Fedha na Logistiki. Anachukua nafasi ya (CP) Hamad Khamis Hamad.
Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Hamad Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar. Anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji.
Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Awadhi Juma Haji kuwa Mkurugenzi wa Operesheni Makao Makuu;
Amempandisha Cheo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Faustine Constantine Shilogile kuwa Kamishna wa Polisi Jamii. Anachukua nafasi ya CP Mussa Ali Mussa ambaye atapangiwa majukumu mengine.
Amempandisha Cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ramadhan Hamisi Kingai na kumteua kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).
PIA, SOMA: Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi
Kasome sheri ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011. Tusibishane sana.Takwa la katiba ni la Dola Sio matakwa ya mbowe wala samia!!
Bunge la katiba linapoteuliwa halitoingiza WABUNGE Hao WOTE wa CCM Bali wa kimkakati hasa waliopo nje ya Bunge hili!!
Vichwa vitaingia na Sio Hao watoto wa uchafuzi!!
Watanzania tuna kazi sana kusoma kitu na kuelewa nini kimeandikwa kabla ya kujibu nacho ni kipaji.Ndugu Rudi Shule. RAIS ndo boss wa majeshi yote na anaweza kumuamlisha IGP amteue fulan katika nafas fulan, na hkuna kuvunja Katiba. Kinachoangaliwa ni utawala bora. Kma MTU umemteua MTU mpe nafas atekeleze wajib bila interfearance
Sijui kama unajua nguvu za Rais wa Nchi.Polepole malawi huyu Siro zimbabwe yaani kama ni mimi nakataa uteuzi kutoka IGP wa nchi mpaka unaenda kufanya kazi Zimbabwe, Anyway nampongeza mama ameupiga mwingi sana,
Hasira na komoa ya mama tunaoumia ni watotoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi.
Aliyekuwa IGP Simon Sirro ateulikuwa kuwa balozi nchi Zimbambwe.
Wakati huo huo amefanya mabadiliko ya Makamanda wengine kama inavyoonesha hapa chini
[emoji116][emoji116]
View attachment 2297191View attachment 2297189
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Julai, 2022 amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
Amempandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Mongoso Wambura, aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Nyakoro Sirro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.
Amempangia kituo Balozi Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia.
Amemteua Dkt. Suleiman Haji Suleiman kuwa Balozi. Dkt. Suleiman ni Afisa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Julai, 2022 na uapisho utafanyika leo tarehe 20 Julai, 2022 saa 05:00 Asubuhi Ikulu, Chamwino Dodoma.
Wakati huo huo, Mhe. Rais amewateua wafuatao kushika nyadhifa mbalimbali kwenye Jeshi la Polisi: -
Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Liberati Sabas Materu kuwa Kamishna wa Fedha na Logistiki. Anachukua nafasi ya (CP) Hamad Khamis Hamad.
Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Hamad Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar. Anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji.
Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Awadhi Juma Haji kuwa Mkurugenzi wa Operesheni Makao Makuu;
Amempandisha Cheo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Faustine Constantine Shilogile kuwa Kamishna wa Polisi Jamii. Anachukua nafasi ya CP Mussa Ali Mussa ambaye atapangiwa majukumu mengine.
Amempandisha Cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ramadhan Hamisi Kingai na kumteua kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).
PIA, SOMA: Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi
Nani kakuambia siro amestaafu upolisi? KatumbuliwaAmepandishwa cheo kwa maana amestaafu na kupewa cheo kingine, Bado anakula mema ya Nchi huyo Mzee, wenzake kina mahita ,mwema nk hawakupewa ubalozi
Kwa umri wake Mimi naamini amestaafu,pia iliwahi kusemwa wakati wa awamu ya 5 aliongezewa muda tu.Nani kakuambia siro amestaafu upolisi? Katumbuliwa
Mchakato unarudi nyuma, tunaanza pale kwenye RASIMU kabla haijaenda hatua ya kupiga kura Bunge la KatibaKasome sheri ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011. Tusibishane sana.
Tatizo lenu wapinzani mnajitoa ufahamu kabisa. Katiba pendekezwa ni zao la rasimu baada ya kujadiliwa na wabunge wa bunge la mabadiliko ya katiba. Kinachofanya hata mimi niikatae katiba pendekezwa ni kwamba ni ya ovyo mno yaani bora hii iliyopo ibaki. Na tukilazimisha sana tunaweza pata katiba mbovu kuliko hii iliyopo kwasababu bado idadi ya wabunge wa upinzani ni ndogo mno.
Kingai kaulaa Naona IGP katoka kanda pendwa tena!
Soon tutasikia wakili Robert kidando yule alikua kiongozi wa jopo la mawakili wa serikali kwenye kesi ya mbowe nae kateuliwa kuwa jaji.
Unaongea tu bila facts. Utaweka mbinyo wewe nani? Kisheria wabunge wote wa bunge la jamhuri ya Muungano wanakuwa wabunge wa bunge la katiba moja kwa moja... jiulize katika hao kuna wapinzani wangapi kwa sasa? Pia kisheria Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM akishirikiana na rais wa Zanzibar wanateua wajumbe 203 kuwa wabunge wa bunge la mabadiliko ya katiba. Hao marais wote wawili ni wajumbe wa kamati kuu ya CCM. Unadhani watafanya makosa ya kuteua watu walio kinyume nao kiitikadi? Vijana wa upinzani msiwe wapumbavu muwe mnajisomea mambo madogo madogo badala ya kutoka mapovu kama wehu.Mchakato unarudi nyuma, tunaanza pale kwenye RASIMU kabla haijaenda hatua ya kupiga kura Bunge la Katiba
Tutaweka mbinyo vyama vya siasa vitoe idadi sawa ya wawakilishi, makundi mengine pia yatoe watu wao Kwa Umakini mkubwa wasiokuwa mapandikizi.
Hatutakosea kama mwanzo maana ujinga ni wakati wa kwenda tu, Si wakat unarudi.
Amini, Muda wa KATIBA mpya ni sasa.
Ameeeeen.
Rasimu ya Warioba itapitaje wakati lazima ijadiliwe na bunge la mabadiliko ya katiba? Yaani viongozi wa upinzani kuna John Pumbulu hawawafafanulii mambo mengi muhimu na kuishia tu kutaja rasimu ya Warioba.Ni kweli kabisa, katiba hiyo mpya ikipitishwa kwa utashi wa CCM itakuwa mbaya kuliko hii iliyopo. Inatakiwa machafuko au mapinduzi ndio katiba ya rasimu ya Warioba ipite.
Rasimu ya Warioba itapitaje wakati lazima ijadiliwe na bunge la mabadiliko ya katiba? Yaani viongozi wa upinzani kuna John Pumbulu hawawafafanulii mambo mengi muhimu na kuishia tu kutaja rasimu ya Warioba.
We ndo punguza mihemko.Unaongea tu bila facts. Utaweka mbinyo wewe nani? Kisheria wabunge wote wa bunge la jamhuri ya Muungano wanakuwa wabunge wa bunge la katiba moja kwa moja... jiulize katika hao kuna wapinzani wangapi kwa sasa? Pia kisheria Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM akishirikiana na rais wa Zanzibar wanateua wajumbe 203 kuwa wabunge wa bunge la mabadiliko ya katiba. Hao marais wote wawili ni wajumbe wa kamati kuu ya CCM. Unadhani watafanya makosa ya kuteua watu walio kinyume nao kiitikadi? Vijana wa upinzani msiwe wapumbavu muwe mnajisomea mambo madogo madogo badala ya kutoka mapovu kama wehu.
Mimi nashauri wapinzani wapambanie tume huru ya uchaguzi kwanza. Tume ikiwa huru watapata wabunge wengi hivyo kwa baadae itasaidia kupata katiba mpya. Tukilazimisha sasa hivi itakuwa haina maana.Ni kweli kabisa, kama hiyo rasimu itajadiliwa na wabunge wa CCM waliopatikana kwa wizi wa kura, hapo itakuwa mbaya. Hayo mahesabu ya kujadiliwa na bunge hili la majizi ya kura hatuko nayo boss.