peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mh. William Lukuvi, tunaomba utusaidie kumwajibisha kamishina wa ardhi mkoa wa Geita akae ofisi ahudumie wananchi.
Mtumishi huyu amekuwa haonekani ofisini na anaishi mkoa wa Mwanza anafanyia kazimkoa wa Geita. Wananchi wanateseka kupata huduma kupitia ofisi yake na ukizingatia kuwa nafasi yake haikaimishwi. Ikiwezekana apewe kazi nyingine