Kamishna wa ardhi mkoa wa Geita haonekani ofisini, anaishi mkoa wa Mwanza

Kamishna wa ardhi mkoa wa Geita haonekani ofisini, anaishi mkoa wa Mwanza

Ana umri gani huyu kamishna. Usije sikia kafia nyumba ya wageni alikoingia na binti mdogo. Maana ndio akili za watendaji serikalini hivi sasa. Wao ni mbususu tu mpaka wanafiapo. Unadhani kwa nini analala Mwanza?.
Mpaka tutakapopata raarifa kutoa upande wa pili wa kamishna kisha tukalinganisha na taarifa hii ndio tutapata jibu sahihi. Unapokuwa kiongozi sio vizuri kufanya maamuzi kwa kuzingatia taarifa ya upande mmoja tu. Unaweza kufanya maamuzi yasiyo sahihi.
 
Back
Top Bottom