peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Usimpangie, anapeleka anapoona atasikika.Peleka malalamiko kwa RC
Naye haonekani ofisini tangu tar 17.2. 2021Peleka malalamiko kwa RC
Umeona kapeleka kwa Lukuvi?? JF ndo Waziri wa Ardhi?Usimpangie, anapeleka anapoona atasikika.
JF ni portal ya kumfikia Lukuvi.Umeona kapeleka kwa Lukuvi?? JF ndo Waziri wa Ardhi?
Ukumbuke analipwa kupitia kodi za wananchiAndaeni mabango...
Naomba kusahihishwa. Hivi neno KAMISHINA si ni kwa ngazi ya taifa ?!.Mh. William Lukuvi, tunaomba utusaidia kumwajibisha kamishina wa ardhi mkoa wa Geita akae ofisi ahudumie wananchi. Mtumishi huyu amekuwa haonekani ofisini na anaishi mkoa wa Mwanza anafanyia kazimkoa wa Geita. Wananchi wanateseka kupata huduma kupitia ofisi yake na ukizingatia kuwa nafasi yake haikaimishwi. Ikiwezekana apewe kazi nyingine
Google tofauti ya wizara ya ardhi pitia "MUUNDO WA WIZARA"Naomba kusahihishwa. Hivi neno KAMISHINA si ni kwa ngazi ya taifa ?!.
Nikidhani mkoani na ngazi ya wilaya ni MAAFISA
Naomba kuelimishwa [emoji120]
Odhis *
Unaweza kuta RC nae anaishi mkoa wa MwanzaPeleka malalamiko kwa RC
Wiki anakuja Jnne tu ,akiona huruma anakuja tena alhamis.Huwa anafika ofisini saa ngapi?
HafaiWiki anakuja Jnne tu ,akiona huruma anakuja tena alhamis.
Acha tu mkuu. Anakula mshahara wa bure sie tunaendelea kulipia kodi ili apate mshahara mzuri na marupurupu mengine.Hafai