Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Ikumbukwe, Juni 12, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika ~ Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia nyumba
Agosti 18, 2026 nyumba iliyokuwa katika eneo hilo mali ya Exaud Sudda ilibomolewa ~ Nyumba iliyokuwa na mgogoro ikidaiwa hati imebadilishwa bila ridhaa ya wahusika yabomolewa Kikuyu Dodoma