Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
mtaani zimejaa kushabu hizo original kuzipata kipengele!hana jipya anabwabwaja tu wanakuja watu toka us ukimpa cha arusha anasizi tena anakuambia hii kitu bomba sana iko soomth tatizo kubwa ni bhange ambazo hazijakomaa zinaletwa town kwa biashara ila ukapata kitu from orkokolo ukila kete moja ukatafute sehemu uskilizie stimu
Wewe utakuwa mkemia wa shamba langu😂😂Wakiruhusu ilimwe kihalali hiyo quality nzuri itapatikana
Nitakuwa testerWewe utakuwa mkemia wa shamba langu😂😂
Kula swali hujajibuNitakuwa tester
SijalionaKula swali hujajibu
Swali.
Hivi wenzangu mnamuelewa huyu Jamaa?
Yaani bangi ingekuwa haifai watu wangekuwa wanalima na kuisha Kwa Wingi kwenye black market?
Waache ujinga walete sheria ya Kilimo rasmi Cha Bangi na Mirungi Ili Mashamba yawe monitored badala ya kuongea pumba hapa 😆😆.
---
Kamishna wa Kinga na Tiba kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Dkt. Peter Mfisi amesema Nchi zilizohalalisha bangi zina utaratibu thabiti ikiwemo kulima bangi hizo kwenye maeneo maalum na kuna kiwango kinachotakiwa ambapo amesema bangi ya Tanzania inayolimwa kwenye mashamba yasiyo rasmi kiholela haifai na haiwezi kukubalika kwenye masoko halali ya nje ya Nchi.
Amesema hayo leo Jijini Dar es salaam baada ya Mwandishi wa @AyoTV_ kumuuliza mtazamo wake kuhusu maoni ya Watu wakiwemo Wabunge kwamba bangi ianze kuuzwa nje ya Nchi ili iongeze pato la Taifa badala ya kuwa inateketezwa.
“Nchi zilizohalalisha bangi wana bangi yao inalimwa kwenye green house inatakiwa iwe na kiwango fulani, tusichukulie tu jambo la rahisi tu kwamba tutachukua tuweke kwenye kiroba kwenda kuwauzuia nje mfano Kenya, Kenya wenyewe bangi haijahalalishwa”
“Hii bangi yetu haifai kwenye kwenye masoko halali hata huko nje, kule wenzetu wametengeneza sehemu maalum za kuuza, kiwango cha kununua na hata umri wa Mtu wa kumuuzia, ukisema uruhusu ya kwetu haiwezi kukubalika, mfano halisi ni miwa, hivi miwa yote inaruhusiwa kutengenezea sukari?, jibu ni hapana, na bangi pia ipo hivyo sio kila bangi inafaa kwa matumizi halali”
Chanzo: Millard Ayo
Alijaribu lini?Kamishna wa Kinga na Tiba kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Dkt. Peter Mfisi amesema Nchi zilizohalalisha bangi zina utaratibu thabiti ikiwemo kulima bangi hizo kwenye maeneo maalum na kuna kiwango kinachotakiwa ambapo amesema bangi ya Tanzania inayolimwa kwenye mashamba yasiyo rasmi kiholela haifai na haiwezi kukubalika kwenye masoko halali ya nje ya Nchi.
Wapumbav sana ,hawajui jinsi nchi zinavyoelekeza kwenye hilo zaoAmejuaje ubora ?
kwanza kabisa akiri kwamba kashawahi kujaribu kuivuta ila kwa kukosa elimu ya matumizi sahihi ya hui mmea huenda alivuta zile chenga zinazobakia chini kabisa kwenye ndoo mzigo ukiisha.
Huyo mpuuzi anayesema bangi ya Tanzania haina ubora yeye anajua mmea wa bangi wa Tanzania ni wa aina gani ?na unafaa katika shughuli gani mpaka. Aseme hauna ubora ?Swali.
Hivi wenzangu mnamuelewa huyu Jamaa?
Yaani bangi ingekuwa haifai watu wangekuwa wanalima na kuisha Kwa Wingi kwenye black market?
Waache ujinga walete sheria ya Kilimo rasmi Cha Bangi na Mirungi Ili Mashamba yawe monitored badala ya kuongea pumba hapa [emoji38][emoji38].
---
Kamishna wa Kinga na Tiba kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Dkt. Peter Mfisi amesema Nchi zilizohalalisha bangi zina utaratibu thabiti ikiwemo kulima bangi hizo kwenye maeneo maalum na kuna kiwango kinachotakiwa ambapo amesema bangi ya Tanzania inayolimwa kwenye mashamba yasiyo rasmi kiholela haifai na haiwezi kukubalika kwenye masoko halali ya nje ya Nchi.
Amesema hayo leo Jijini Dar es salaam baada ya Mwandishi wa @AyoTV_ kumuuliza mtazamo wake kuhusu maoni ya Watu wakiwemo Wabunge kwamba bangi ianze kuuzwa nje ya Nchi ili iongeze pato la Taifa badala ya kuwa inateketezwa.
“Nchi zilizohalalisha bangi wana bangi yao inalimwa kwenye green house inatakiwa iwe na kiwango fulani, tusichukulie tu jambo la rahisi tu kwamba tutachukua tuweke kwenye kiroba kwenda kuwauzuia nje mfano Kenya, Kenya wenyewe bangi haijahalalishwa”
“Hii bangi yetu haifai kwenye kwenye masoko halali hata huko nje, kule wenzetu wametengeneza sehemu maalum za kuuza, kiwango cha kununua na hata umri wa Mtu wa kumuuzia, ukisema uruhusu ya kwetu haiwezi kukubalika, mfano halisi ni miwa, hivi miwa yote inaruhusiwa kutengenezea sukari?, jibu ni hapana, na bangi pia ipo hivyo sio kila bangi inafaa kwa matumizi halali”
Chanzo: Millard Ayo
Kamishna alivuta vumbi la bangi,,na sio bangi yenyewe arudi akafanye uchunguzi tena naamini atarudi na majibu tofauti kabisaa!!Amejuaje ubora ?
kwanza kabisa akiri kwamba kashawahi kujaribu kuivuta ila kwa kukosa elimu ya matumizi sahihi ya hui mmea huenda alivuta zile chenga zinazobakia chini kabisa kwenye ndoo mzigo ukiisha.
Hiyo bush weed bado ina matumizi pia ,kama nilivyoeleza hapo juu ,inaweza tumika katika mojawapo ya matumizi niliyooridhesha hapo juuBhangi ya Tanzania ni Bush weed, ina THC ndogo kama serengeti light wakati ya greenhouse ni kama Jack Daniels.