Brigedia Chan-ocha kamishna yupi aliyesimamishwa? Alikuwa anaitwa nani?Kuna Taarifa ambazo si rasmi kwamba, kamishna wa madini wa wizara ya nishati na Madini alisimamishwa kimya kimya bila habari zake kutangazwa.
Vile vile, kamishna wa Nishati wa wizara hiyo naye alisimamishwa kimya kimya, Gazeti la Mtanzania limelipoti kwamba,.
"Kwa taarifa walizonazo ambazo bado hazijathibitishwa ni kwamba makamishna hao wamesimamishwa kimya kimya".