msolopagaz 1
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 312
- 81
Huo ni mtazamo wako.. Umesikia toka kwa nani? Nani jag ukubwa bila sababu hebu tuwekee majina hapa na sehemu zao za Kazi ili tujue Kweli wewe unachosema kina mashiko ....Huo ndiyo mfumo wa uendeshaji wa serikali kwa sasa.Nasikia wateule wa serikali hii ukipita mwezi mmoja bila ya kumfukuza Kazi au kumsimamisha mtumishi yeyote aliye chini ya mamlaka yake,basi mteule huyo atapaswa kuandika barua ya maelezo kwa nini hajafukuza au kusimamisha mtu kazi.