Tetesi: Kamishna wa Madini Asimamishwa kimya kimya

Brigedia Chan-ocha kamishna yupi aliyesimamishwa? Alikuwa anaitwa nani?
 
unbelievable

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Wanaosimamishwa si makada wa CCM. Ni majizi na manyang'au
Vipi lile jizi na nyang'au lenye ICD iliyokwiba fedha za kodi na ina shipping line ambayo mizigo yake inapita kimagumashi bandarini na pia linatorosha meno ya tembo kwenda China kwa meli zake na pia ni li sekretari jenero pale Lumumba
 
Labda hiyo ndiyo staili aliyosema Waziri wa wizara hiyo atatumia, Mr Muhongo.
 
Nikusafisha tu
Tena Naona kama kasi inapungua
Ninachoona watumbuaji wa majipu wanaangalia sura za wahusika. Mbona kuna mijizi imebainishwa na mkaguzi wa ndani wa DUWASA Dodoma. Lakini wamesameaheana kimyakimya. Kila kukicha vikao vya kuwajadili vinaendelea na hakuna maamuzi yoyote. Wamekwiba mamilioni ila kwa kuwa ni watoto watoto wa vigogo wa CCM kila mtu anawaogopa.
 
Makamishna wanateuliwa na raisi. Kusimamishwa sio uwajibikaji au kufukuzwa kazi. Ukiona mwenzko ananyolewa wewe tia maji
 

It is a good strategy badala ya kuwapigia mayowe!!!
 
Ni yule kamishna masanja nn? Mbona wanamsifu Sana ni jembe alivokuwa TMA Ile taasisi ilikuwa inafanya vizuri ktk ukaguzi wa migodi... Duuh naye kumbe jipu..
 
Mkuu makamishna wote wanateuliwa na raisi mkuu.
Na katika pita pita nimesikia kuwa Muhongo ndie aliye lobby kusimamishwa akitaka apatiwe wary wenge prof na doctorates.
Kwa kifupi mchezo huu mchafu kacheza muhongo.
 


Mkuu acha uzushi. Nimecheki na wasaidizi wa wahusika wanasema hakun jambo kama hilo. Wewe umetoa wapi?
 
Ni yule kamishna masanja nn? Mbona wanamsifu Sana ni jembe alivokuwa TMA Ile taasisi ilikuwa inafanya vizuri ktk ukaguzi wa migodi... Duuh naye kumbe jipu..
Mkuu huyu aliteuliwa na Kikwete kwenye ile batch ya mwisho ya Makatibu wakuu ula Magu akaja akampiga chini

Hutu mtoa uzi aseme ni kamishna yupi kasimamishwa maana pale wapo wawili wa Nishati na wa Madini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…