Tetesi: Kamishna wa Madini Asimamishwa kimya kimya

Huo ni mtazamo wako.. Umesikia toka kwa nani? Nani jag ukubwa bila sababu hebu tuwekee majina hapa na sehemu zao za Kazi ili tujue Kweli wewe unachosema kina mashiko ....
 
Inawezekana walisimama muda mrefu?
 
Kinachotokea sasa hivi ndio kinazidi kuzalisha maswali kuhusu uongozi uliopita kwamba ulikuwa unafanya nini.....
Kiukweli ukiacha katiba hii inayowarinda wezi....viongozi wote wa awamu iliyopita walitakuwa wawe magerezani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…