KAMISHNA ;ZILE GARI ZA KUTOKA KENYA ..UGANDA CHUNGUZENI PALE WANAPOKANYAGIA...KWENYE KORIDOO HATAREE....

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hili zoezi gumu sana ingawa KAMISHNA wetu anajitahidi kupambana naloooooooo

MH KAMISHNA WA Madawa ya kulevyaaaaaa

KUNA haya mabasi yanatokea Kenya na ugandaaaa

Fanyaaaa showe wiki nzimaaa
Kwenye koridor wanapokanyagia abiria ukiona screw PEMBEN fungueni toeni zile bati mwone wanachowekaa

N BALAA na nusu..najua una majukumu mazitooo BADOOO utapata mda WA kufanya zoezi hili

Huko UTAKUTANA na mirungii ..madawa ya kulevya...bangi kama zote wakishafungua wanaweka kwa ndani wanafunga we unakuja hakuna kitu kwa juu kisa unakanyaga .....

Zoezi la kutia hii mizigoo hufanywa mwisho WA basi wale wah huwa hawashuki wanaenda pale basi zinapoishia wanafunguliwa mizigo yao wanakula cheers

Wanamshukuru....kuwafikisha salama

Allah saidia watoto wetuu sana
 
Shukuru Mungu Max na wenzie waligoma kutuchoma....kwa habari hiyo, kama sio Ununio basi Darajani yaani.

Vizuri sana, wiso blowa wakilindwa na mamlaka zikawa na weledi, mambo yananyooka...

Sasa utakuta mamlaka ya kifamilia, wanakimbilia kupata mgao wao na ikibidi ndo fursa mpya ya kibiashara.
 
Yaaan ma kondaa n WASHENZII wewee unaweza karibiaaa KUFIKA wanakwambiaa baba mzigo inabido ushuke mwishoo ongezaa kidogoo sasa gomaaa uonee

Ukishukaa tyu unashangilia ushindi MBELE unakutana na wazee WA kazii pls TUNAOMBA mfungue mabegi hayoo loh chooo kikubwa kinatoka gaflaaa........

God have mercy n us
 
Hili zoezi gumu sana ingawa KAMISHNA wetu anajitahidi kupambana naloooooooo

MH KAMISHNA WA Madawa ya kulevyaaaaaa

KUNA haya mabasi yanatokea Kenya na ugandaaaa

Fanyaaaa showe wiki nzimaaa
Kwenye koridor wanapokanyagia abiria ukiona screw PEMBEN fungueni toeni zile bati mwone wanachowekaa

N BALAA na nusu..najua una majukumu mazitooo BADOOO utapata mda WA kufanya zoezi hili

Huko UTAKUTANA na mirungii ..madawa ya kulevya...bangi kama zote wakishafungua wanaweka kwa ndani wanafunga we unakuja hakuna kitu kwa juu kisa unakanyaga .....

Zoezi la kutia hii mizigoo hufanywa mwisho WA basi wale wah huwa hawashuki wanaenda pale basi zinapoishia wanafunguliwa mizigo yao wanakula cheers

Wanamshukuru....kuwafikisha salama

Allah saidia watoto wetuu sana
Mmh hayanihusu
 
Mpwaaa umeuzaaa mechiii...😀😀 umetoaa password iiii
 
Si hivyo tu, hata baadhi ya tairi zina mzigo ndani na matenki ya maji na mafuta yana vyumba vya mzigo.
 
Kama huna mtu wa karibu aliyeathiriwa na madawa ya kulevya unaweza kumwona mleta uzi kama snitch ila kasaidia pakubwa. Muuza bangi na madawa mengine wanastahili adhabu ya kifo. Nina rafiki yangu nilikuwa naishi naye bweni moja O - level leo hii ni teja huko Matejoo. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu waliokuwa na akili nyingi mno darasani. A - level alienda Mzumbe PCM na chuo UDSM. Ila yote hayo ni historia kisa madawa.
 
Hiyo sio biashara ya kufanya ni haramu kweli unaua vizazi vijavyo..
 
Kama huna mtu wa karibu aliyeathiriwa na madawa ya kulevya unaweza kumwona mleta uzi kama snitch ila kasaidia pakubwa. Muuza bangi na madawa mengine wanastahili adhabu ya kifo. Nina rafiki yangu nilikuwa naishi naye bweni moja O - level leo hii ni teja huko Matejoo. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu waliokuwa na akili nyingi mno darasani. A - level alienda Mzumbe PCM na chuo UDSM. Ila yote hayo ni historia kisa madawa.
Huyo bwege Hata asingekuwa Teja wa bangi angekuwa Teja wa ugoro na pombe
 
Hili zoezi gumu sana ingawa KAMISHNA wetu anajitahidi kupambana naloooooooo

MH KAMISHNA WA Madawa ya kulevyaaaaaa

KUNA haya mabasi yanatokea Kenya na ugandaaaa

Fanyaaaa showe wiki nzimaaa
Kwenye koridor wanapokanyagia abiria ukiona screw PEMBEN fungueni toeni zile bati mwone wanachowekaa

N BALAA na nusu..najua una majukumu mazitooo BADOOO utapata mda WA kufanya zoezi hili

Huko UTAKUTANA na mirungii ..madawa ya kulevya...bangi kama zote wakishafunguwanaweka kwa ndani wanafunga we unakuja hakuna kitu kwa juu kisa unakanyaga .....

Zoezi la kutia hii mizigoo hufanywa mwisho WA basi wale wah huwa hawashuki wanaenda pale basi zinapoishia wanafunguliwa mizigo yao wanakula cheers

Wanamshukuru....kuwafikisha salama

Allah saidia watoto wetuu sana
Bangi na mirungi si madawa ya kulevya
 
Back
Top Bottom