much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Na wewe usije ukawa Mla ugoroFicha upumbavu wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe usije ukawa Mla ugoroFicha upumbavu wako.
Gari za Kenya nazojua mie tahmeed kidia bmHili zoezi gumu sana ingawa KAMISHNA wetu anajitahidi kupambana naloooooooo
MH KAMISHNA WA Madawa ya kulevyaaaaaa
KUNA haya mabasi yanatokea Kenya na ugandaaaa
Fanyaaaa showe wiki nzimaaa
Kwenye koridor wanapokanyagia abiria ukiona screw PEMBEN fungueni toeni zile bati mwone wanachowekaa
N BALAA na nusu..najua una majukumu mazitooo BADOOO utapata mda WA kufanya zoezi hili
Huko UTAKUTANA na mirungii ..madawa ya kulevya...bangi kama zote wakishafungua wanaweka kwa ndani wanafunga we unakuja hakuna kitu kwa juu kisa unakanyaga .....
Zoezi la kutia hii mizigoo hufanywa mwisho WA basi wale wah huwa hawashuki wanaenda pale basi zinapoishia wanafunguliwa mizigo yao wanakula cheers
Wanamshukuru....kuwafikisha salama
Allah saidia watoto wetuu sana
Mi na ma kaka wawili NDUGU kabisa MMOJA kafa na madawa na uchungu nao sanaKama huna mtu wa karibu aliyeathiriwa na madawa ya kulevya unaweza kumwona mleta uzi kama snitch ila kasaidia pakubwa. Muuza bangi na madawa mengine wanastahili adhabu ya kifo. Nina rafiki yangu nilikuwa naishi naye bweni moja O - level leo hii ni teja huko Matejoo. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu waliokuwa na akili nyingi mno darasani. A - level alienda Mzumbe PCM na chuo UDSM. Ila yote hayo ni historia kisa madawa.