KAMISHNA ;ZILE GARI ZA KUTOKA KENYA ..UGANDA CHUNGUZENI PALE WANAPOKANYAGIA...KWENYE KORIDOO HATAREE....

KAMISHNA ;ZILE GARI ZA KUTOKA KENYA ..UGANDA CHUNGUZENI PALE WANAPOKANYAGIA...KWENYE KORIDOO HATAREE....

Hili zoezi gumu sana ingawa KAMISHNA wetu anajitahidi kupambana naloooooooo

MH KAMISHNA WA Madawa ya kulevyaaaaaa

KUNA haya mabasi yanatokea Kenya na ugandaaaa

Fanyaaaa showe wiki nzimaaa
Kwenye koridor wanapokanyagia abiria ukiona screw PEMBEN fungueni toeni zile bati mwone wanachowekaa

N BALAA na nusu..najua una majukumu mazitooo BADOOO utapata mda WA kufanya zoezi hili

Huko UTAKUTANA na mirungii ..madawa ya kulevya...bangi kama zote wakishafungua wanaweka kwa ndani wanafunga we unakuja hakuna kitu kwa juu kisa unakanyaga .....

Zoezi la kutia hii mizigoo hufanywa mwisho WA basi wale wah huwa hawashuki wanaenda pale basi zinapoishia wanafunguliwa mizigo yao wanakula cheers

Wanamshukuru....kuwafikisha salama

Allah saidia watoto wetuu sana
Gari za Kenya nazojua mie tahmeed kidia bm
 
Kama huna mtu wa karibu aliyeathiriwa na madawa ya kulevya unaweza kumwona mleta uzi kama snitch ila kasaidia pakubwa. Muuza bangi na madawa mengine wanastahili adhabu ya kifo. Nina rafiki yangu nilikuwa naishi naye bweni moja O - level leo hii ni teja huko Matejoo. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu waliokuwa na akili nyingi mno darasani. A - level alienda Mzumbe PCM na chuo UDSM. Ila yote hayo ni historia kisa madawa.
Mi na ma kaka wawili NDUGU kabisa MMOJA kafa na madawa na uchungu nao sana
 
Back
Top Bottom