Kamjua wiki kamuoa inawezana jaman

Kamjua wiki kamuoa inawezana jaman

wewe michelle badala ya kumshaur kwenzio ajitahid amlazimishe aolewe na jamaa wewe unataka kumpooza co hvyo bana mwambie aolewe wiki 2uu ucwe hvyo

Heeee!Kwani nimeambiwa hamna kesho?
 
Hivi umerudi ntarekebika tu dearest!Kwanza kesho siku ya sikukuu unanipeleka wapi?

mm ninakushaur umtafute huyo jamaa kesho akikuzingua kesho mpotezee mwambie utaolewa baada ya wk inayokuja
 
hiyo ndoa mfano wake ni music wa bongo flava......... haina maisha
 
Hakuna fomular kwenye mapenzi! Waweza muona mtu for the 1st time na ukajua she/he is the one! Ikitokea wote mnafeel the same why wait?

Kukaa uchumba kwa muda mrefu sio gurantee ya kudumu katika ndoa. Jua kipindi hicho kina pretence nyingi toka pande zote; hivyo swala la kujuana tabia ni kwa kiwango kidogo tu!

On the other hand kuoana mapema ni sawa na kumkubali mwenzako jinsi alivyo, without caring in the world where s/he is from, what s/he has been doing or anything; just loving the person s/he is now.
 
Weel said
 
Back
Top Bottom