Hakuna fomular kwenye mapenzi! Waweza muona mtu for the 1st time na ukajua she/he is the one! Ikitokea wote mnafeel the same why wait?
Kukaa uchumba kwa muda mrefu sio gurantee ya kudumu katika ndoa. Jua kipindi hicho kina pretence nyingi toka pande zote; hivyo swala la kujuana tabia ni kwa kiwango kidogo tu!
On the other hand kuoana mapema ni sawa na kumkubali mwenzako jinsi alivyo, without caring in the world where s/he is from, what s/he has been doing or anything; just loving the person s/he is now.