Hakuna serikali inayopenda kuua raia wake. Mtu anapoteuliwa kuwa CDF au IGP, huyo ni Mzalendo kweli kweli. Kulikuwa na tishio la usalama wa nchi/taifa ndio maana kikatokea kile kilichotokea ndugu yangu.Kwanza huyu naye ni mpuuzi.
Angekuwa serious angeanza na walio ua ndugu zetu kipindi wao wanagombania kuingia bungeni.
Hao wabunge walifaa wachomwe moto wote na majivu yao yakamwagwe baharini
Vijana mitaani wanawaza pesa tu. No patriotism at all. Watu hawapendi kujitolea. Jambo lolote lile, pesa mbele.Sheria mbona zipo, utekelezaji umewashinda wanatafuta wa kumlaumu.
Mkuu umeona kilichotokea huko ulaya? Wameua waandamanaji? Au october ndiyo ilikuwa mara ya kwanza watanzania kuandamana?Hakuna serikali inayopenda kuua raia wake. Mtu anapoteuliwa kuwa CDF au IGP, huyo ni Mzalendo kweli kweli. Kulikuwa na tishio la usalama wa nchi/taifa ndio maana kikatokea kile kilichotokea ndugu yangu.
I'm sincerely sorry for the collateral damages caused by the crackdown on coup plotters and executors.