Mbelajr2023
Member
- Nov 23, 2022
- 54
- 115
Anaandika mbelajr,
Nimekuwa msomaji na msikilizaji mzuri wa hoja mbalimbali za wachangiaji katika nada hii ya NDOA KWA takribani miezi miwili sasa.Leo na mimi nitachangia mada hii
Ndoa ni taasisi ya kwanza kuundwa Duniani,vitabu vingi vinavyoaminika kuwa ni vitakatifu yaani Biblia na Quran vinaeleza hilo kwamba Adam na Hawa ndio wazazi wa kwanza kuanzisha.Sasa basi kama ndivyo,Taasisi yeyote hupitia vipindi vitatu kuzaliwa,kuishi na kufa.
Sasa basi,ndoa kama Taasisi tangu kuzaliwa kwake imepitia vipindi mbalimbali vyenye milima na mabonde hivyo vijana lazima mtambue kwamba Kwa kuingia katika ndoa ni lazima upitie vipindi vyote vigumu na virahisi.
Ni ukweli usiopingika katika siku za karibuni Kati ya jambo humu na ziti ambalo vijana wanakabiliana ni nani wa kuoa au kuolewa naye.Katika hali yeyote utandawazi na sera ya kudai haki SawA Kati ya mwanamke na mwanaume imeleta athari kubwa katika maisha ya NDOA.
Katika kuamua yupi wa kuoa au kuolewa naye ningeshauri vijana kuchagua mtu ambaye utakuwa na sense of compatibility naye nikimaanisha aina ya ufanano naye.Hata kama kutakuwa na mapungufu ni vizuri kupata muda wa kujiridhisha kama unaweza kuendana naye.
Ndoa humsaidia kijana kuanda kesho yake paMoJa na kizazi chake,humuwezesha kujipima katika kukabili changamoto za maisha.Vijana wa kiume wanashauriwa kuishi na wake zao KWA akili,akili na matumizi sahihi elimu na maarifa katika kukabili ana na mazingira yaliyoko.
Nitoe rai KWA vijana kutafuta watu sahihi wa kuingia nao katika ndoa,jambo hili ni mchakato na hutumia muda raslimali na maarifa kuweza kulikamilisha.
Tusikatae ndoa,tuikubali lakini tukumbuke wasiwasi ndio akili.Je ukikataa ndoa unaitazamaje kesho yAko? Huhitaji kuwa na watoto? Dash Mapadri wameweza wewe je? Tafakari chukua hatua