Kampeni "Kataa ndoa? vijana tunaitazama kesho?

Anaandika mbelajr,

Nimekuwa msomaji na msikilizaji mzuri wa hoja mbalimbali za wachangiaji katika nada hii ya NDOA KWA takribani miezi miwili sasa.Leo na mimi nitachangia mada hii

Ndoa ni taasisi ya kwanza kuundwa Duniani,vitabu vingi vinavyoaminika kuwa ni vitakatifu yaani Biblia na Quran vinaeleza hilo kwamba Adam na Hawa ndio wazazi wa kwanza kuanzisha.Sasa basi kama ndivyo,Taasisi yeyote hupitia vipindi vitatu kuzaliwa,kuishi na kufa.

Sasa basi,ndoa kama Taasisi tangu kuzaliwa kwake imepitia vipindi mbalimbali vyenye milima na mabonde hivyo vijana lazima mtambue kwamba Kwa kuingia katika ndoa ni lazima upitie vipindi vyote vigumu na virahisi.

Ni ukweli usiopingika katika siku za karibuni Kati ya jambo humu na ziti ambalo vijana wanakabiliana ni nani wa kuoa au kuolewa naye.Katika hali yeyote utandawazi na sera ya kudai haki SawA Kati ya mwanamke na mwanaume imeleta athari kubwa katika maisha ya NDOA.

Katika kuamua yupi wa kuoa au kuolewa naye ningeshauri vijana kuchagua mtu ambaye utakuwa na sense of compatibility naye nikimaanisha aina ya ufanano naye.Hata kama kutakuwa na mapungufu ni vizuri kupata muda wa kujiridhisha kama unaweza kuendana naye.

Ndoa humsaidia kijana kuanda kesho yake paMoJa na kizazi chake,humuwezesha kujipima katika kukabili changamoto za maisha.Vijana wa kiume wanashauriwa kuishi na wake zao KWA akili,akili na matumizi sahihi elimu na maarifa katika kukabili ana na mazingira yaliyoko.

Nitoe rai KWA vijana kutafuta watu sahihi wa kuingia nao katika ndoa,jambo hili ni mchakato na hutumia muda raslimali na maarifa kuweza kulikamilisha.

Tusikatae ndoa,tuikubali lakini tukumbuke wasiwasi ndio akili.Je ukikataa ndoa unaitazamaje kesho yAko? Huhitaji kuwa na watoto? Dash Mapadri wameweza wewe je? Tafakari chukua hatua
dont let this nigga hypes you
 
Hoja ina mashiko ila watu wataoana tu hata kwa dakika chache. Kitakachochochea ndoa ni uasili wa mwanaume na mwanamke kutaka penzi. Mapenzi yenyewe tu ni ndoa tosha hata kama itachukua dakika chache na haitaandikishwa popote. Wanyama wenyewe wana ndoa zao iweje binadamu akose wakati ana sifa ya kuzaa kama kiumbe hai? Kupiga shoo ni ndoa tayari hiyo, sasa kama ndoa zikikataliwa binadamu watazaana vipi? Kwa chupa au insimination? labda sentensi iwe kataa kuishi pamoja na mwanamke hapo sawa. Yaani mapenzi yalivyo matamu mtu akatae kuo? Siri ya kuoa ni kupata penzi kwa uhuru na amani wakati wote ukihitaji bila kuingiliana na mtu mwingine
Hapo umenena mkuu...tatizo wanaoanzisha hizi mada za ndoa hawaelezi nini maana ya ndoa...watu wengi wameoa ila hawajui kama wameoa...wanafikiri mpaka msign makaratasi, mkapige picha beach, mkodi matarumbeta, mkodi MC n.k..vitu ambavyo havihusihani kabisa na ndoa..
 
Hao mnaotaka waolewe wana akili?.
Kuna siku moja kwenye uzi mmoja limama limoja linasema:- mnunulie mkeo gari zuri, nyumba nzuri, chakula kizuri na mavazi mazuri then mkeo atakuheshimu.
Just imejen umekutana na lidada la hivyo na ukishindwa kumit up na mahitaji yake linakuambia"wewe si mwanaume mwenye akili ndiyo maana huwezi majukumu".
Useless and entitled lady. Guys tafuta pesa siku ukibahatika Kupata mnyonge mwenzio na submissive Oa nje na hapo utajuta
Haina haja ya kuoa, tutafute tu pesa
 
Aisee umerarua kbs[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Anaandika mbelajr,

Nimekuwa msomaji na msikilizaji mzuri wa hoja mbalimbali za wachangiaji katika nada hii ya NDOA KWA takribani miezi miwili sasa.Leo na mimi nitachangia mada hii

Ndoa ni taasisi ya kwanza kuundwa Duniani,vitabu vingi vinavyoaminika kuwa ni vitakatifu yaani Biblia na Quran vinaeleza hilo kwamba Adam na Hawa ndio wazazi wa kwanza kuanzisha.Sasa basi kama ndivyo,Taasisi yeyote hupitia vipindi vitatu kuzaliwa,kuishi na kufa.

Sasa basi,ndoa kama Taasisi tangu kuzaliwa kwake imepitia vipindi mbalimbali vyenye milima na mabonde hivyo vijana lazima mtambue kwamba Kwa kuingia katika ndoa ni lazima upitie vipindi vyote vigumu na virahisi.

Ni ukweli usiopingika katika siku za karibuni Kati ya jambo humu na ziti ambalo vijana wanakabiliana ni nani wa kuoa au kuolewa naye.Katika hali yeyote utandawazi na sera ya kudai haki SawA Kati ya mwanamke na mwanaume imeleta athari kubwa katika maisha ya NDOA.

Katika kuamua yupi wa kuoa au kuolewa naye ningeshauri vijana kuchagua mtu ambaye utakuwa na sense of compatibility naye nikimaanisha aina ya ufanano naye.Hata kama kutakuwa na mapungufu ni vizuri kupata muda wa kujiridhisha kama unaweza kuendana naye.

Ndoa humsaidia kijana kuanda kesho yake paMoJa na kizazi chake,humuwezesha kujipima katika kukabili changamoto za maisha.Vijana wa kiume wanashauriwa kuishi na wake zao KWA akili,akili na matumizi sahihi elimu na maarifa katika kukabili ana na mazingira yaliyoko.

Nitoe rai KWA vijana kutafuta watu sahihi wa kuingia nao katika ndoa,jambo hili ni mchakato na hutumia muda raslimali na maarifa kuweza kulikamilisha.

Tusikatae ndoa,tuikubali lakini tukumbuke wasiwasi ndio akili.Je ukikataa ndoa unaitazamaje kesho yAko? Huhitaji kuwa na watoto? Dash Mapadri wameweza wewe je? Tafakari chukua hatua
Hizi ni zama mpya hata mahusiano nayo yame evolve kiasi hata kushauriana changamoto zake imekuwa issue.Mahusiano yameshuka thamani sana sana,wakati fulani huwa nafikiria sana kama hata wazee wetu kama wanaweza kutushauri kuhusiana na mahusiano ambayo yatapelekea ndoa kwakupitia uzoefu wao ila huwa nadhani nao wanatambua sasa mambo si kama zamani.

Hii dunia si kama ile ya zamani.
 
Anaandika mbelajr,

Nimekuwa msomaji na msikilizaji mzuri wa hoja mbalimbali za wachangiaji katika nada hii ya NDOA KWA takribani miezi miwili sasa.Leo na mimi nitachangia mada hii

Ndoa ni taasisi ya kwanza kuundwa Duniani,vitabu vingi vinavyoaminika kuwa ni vitakatifu yaani Biblia na Quran vinaeleza hilo kwamba Adam na Hawa ndio wazazi wa kwanza kuanzisha.Sasa basi kama ndivyo,Taasisi yeyote hupitia vipindi vitatu kuzaliwa,kuishi na kufa.

Sasa basi,ndoa kama Taasisi tangu kuzaliwa kwake imepitia vipindi mbalimbali vyenye milima na mabonde hivyo vijana lazima mtambue kwamba Kwa kuingia katika ndoa ni lazima upitie vipindi vyote vigumu na virahisi.

Ni ukweli usiopingika katika siku za karibuni Kati ya jambo humu na ziti ambalo vijana wanakabiliana ni nani wa kuoa au kuolewa naye.Katika hali yeyote utandawazi na sera ya kudai haki SawA Kati ya mwanamke na mwanaume imeleta athari kubwa katika maisha ya NDOA.

Katika kuamua yupi wa kuoa au kuolewa naye ningeshauri vijana kuchagua mtu ambaye utakuwa na sense of compatibility naye nikimaanisha aina ya ufanano naye.Hata kama kutakuwa na mapungufu ni vizuri kupata muda wa kujiridhisha kama unaweza kuendana naye.

Ndoa humsaidia kijana kuanda kesho yake paMoJa na kizazi chake,humuwezesha kujipima katika kukabili changamoto za maisha.Vijana wa kiume wanashauriwa kuishi na wake zao KWA akili,akili na matumizi sahihi elimu na maarifa katika kukabili ana na mazingira yaliyoko.

Nitoe rai KWA vijana kutafuta watu sahihi wa kuingia nao katika ndoa,jambo hili ni mchakato na hutumia muda raslimali na maarifa kuweza kulikamilisha.

Tusikatae ndoa,tuikubali lakini tukumbuke wasiwasi ndio akili.Je ukikataa ndoa unaitazamaje kesho yAko? Huhitaji kuwa na watoto? Dash Mapadri wameweza wewe je? Tafakari chukua hatua
Si future ya kila mtu kuwa na mtoto jamii iache ku push kitu ambacho si lazima kwa kioa mtu .

Dini ulizotaja hazijakulazimisha kuoa zimekushauri kuoa na si kwamba usipooa utapata dhambi hapana!

Kikubwa kinachofanya vijana waogope ndoa nowdays ni aina ya watu wanaokutana nao katika maisha ndiyo maana zinaa ikakatazwa kwenye vitabu ulivyotaja hapo juu .

Maana nowdays kijana mwenye 25+ tayari ameshakuwa na relationships zaidi ya 10 ambazo zote hizo hazikuzaa matunda ameshatumika vibaya mno plus kuwa na kumbukumbu mbaya sana ya mahusiano .

Wengine bado wanawapenda Ex wao sasa ukija kuoa au kuolewa na mtu kama huyo lazima utateseka tu maana akili yake haijatulia sehemu moja .

NA ZINAA NOWDAYS NI NYEPESI KULIKO KUPATA MAJI YA KUNYWA.
 
Hao mnaotaka waolewe wana akili?.
Kuna siku moja kwenye uzi mmoja limama limoja linasema:- mnunulie mkeo gari zuri, nyumba nzuri, chakula kizuri na mavazi mazuri then mkeo atakuheshimu.
Just imejen umekutana na lidada la hivyo na ukishindwa kumit up na mahitaji yake linakuambia"wewe si mwanaume mwenye akili ndiyo maana huwezi majukumu".
Useless and entitled lady. Guys tafuta pesa siku ukibahatika Kupata mnyonge mwenzio na submissive Oa nje na hapo utajuta
Angalau umetoa elimu. Asante
 
Alafu they got nothing to offer other than mbususu.
Sasa mbususu zimejaa kibao tinder badoo ya nini ufuge mtoto wa mtu ndani ya nyumba unalilisha kulivisha alafu halina shukran
Utaratibu huo wa kumfuga utakuwa umeamua wewe.

Mimi mke wangu anachangia karibu robo la pato la familia kwa akili yake. Robo nyingine nimemtengenezea mazingira ya utafutaji bila hata kusafiri.

Mwezeshe, mhamasishe, msimamie na kumwongoza katika upambanaji. You will enjoy your merriage.

Ukimpata anayekuelewa, kuoa raha jamani.
 
Ni akili tu ndio hawana, wakikua wataelewa. Hopeful hawatozeeka na upumbavu wao.

Watarudi na nyuzi za kutafuta wachumba, bahati mbaya watakuja na id mpya.
Ila mkuu wasikuumize kichwa, wanajikuta tu humu jukwaani ila mtaani wanaoa vizuri tu.
 
Wanawake wengi wa kizazi hiki HAWANA SIFA YA KUOLEWA, ni vile tu vijana tunalazimisha.

wanawake wengi wa SASA HAWANA AKILI YA KUJENGA MJI, wamejaa ulimbukeni na usasa wa kipuuzi.

Nasema hawana akili ya kujenga MJI kwa sababu WALIO WENGI UKITOA SEX HAWANA KINGINE CHA TOFAUTI NA CHA PEKEE CHA KU-OFFER KWENYE MAISHA YA MWANAUME.

Imagine wewe kama mwanaume umemuoa mwanamke, amejifungua vizuri tu hana shida yoyote ya kiafya na ni mama wa nyumbani, LAKINI BAADA YA MIEZI 6 ANAACHA KUNYONYESHA ANAANZA KUMPA MWANAO MAZIWA YA NG'OMBE eti HATAKI MAZIWA YALALE.

sasa huyo ni mke wa kuishi nae??
Tunaosababisha hayo ni sisi wanaume kuweka vigezo vya wanawake hivyo wakati tunajua kuwa wakati ukifika lazima matiti yalale.
 
Utaratibu huo wa kumfuga utakuwa umeamua wewe.

Mimi mke wangu anachangia karibu robo la pato la familia kwa akili yake. Robo nyingine nimemtengenezea mazingira ya utafutaji bila hata kusafiri.

Mwezeshe, mhamasishe, msimamie na kumwongoza katika upambanaji. You will enjoy your merriage.

Ukimpata anayekuelewa, kuoa raha jamani.
Huyo mkeo ni wa dunia hii hii tunayoishi ama ? Itabidi nije kumuona
 
Hao mnaotaka waolewe wana akili?.
Kuna siku moja kwenye uzi mmoja limama limoja linasema:- mnunulie mkeo gari zuri, nyumba nzuri, chakula kizuri na mavazi mazuri then mkeo atakuheshimu.
Just imejen umekutana na lidada la hivyo na ukishindwa kumit up na mahitaji yake linakuambia"wewe si mwanaume mwenye akili ndiyo maana huwezi majukumu".
Useless and entitled lady. Guys tafuta pesa siku ukibahatika Kupata mnyonge mwenzio na submissive Oa nje na hapo utajuta
Lakwangu limo ndani linanambia maujinga kama haya,nimewaza sana jinsi ya kulikomoa na kuliacha ila roho haijapata majibu sahihi!!
 
Kuoa hawataki, kufuga wanyama hawataki, kupanda miti hawataki sasa hii dunia wataishi akina nani?
 
Hasara kubwa ya ndoa ni pale unapomfumania mke wako na kuamua kuachana naye. Kile kidogo mlichowekeza inabidi mgawane. Hapo ni kama unaanza upyaa
 
Back
Top Bottom