Kampeni "Kataa ndoa? vijana tunaitazama kesho?

dont let this nigga hypes you
 
Ndoa ni kitendawili kinachotakiwa kuteguliwa😁😁😁😁😁
 
Hapo umenena mkuu...tatizo wanaoanzisha hizi mada za ndoa hawaelezi nini maana ya ndoa...watu wengi wameoa ila hawajui kama wameoa...wanafikiri mpaka msign makaratasi, mkapige picha beach, mkodi matarumbeta, mkodi MC n.k..vitu ambavyo havihusihani kabisa na ndoa..
 
Haina haja ya kuoa, tutafute tu pesa
 
Aisee umerarua kbs[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hizi ni zama mpya hata mahusiano nayo yame evolve kiasi hata kushauriana changamoto zake imekuwa issue.Mahusiano yameshuka thamani sana sana,wakati fulani huwa nafikiria sana kama hata wazee wetu kama wanaweza kutushauri kuhusiana na mahusiano ambayo yatapelekea ndoa kwakupitia uzoefu wao ila huwa nadhani nao wanatambua sasa mambo si kama zamani.

Hii dunia si kama ile ya zamani.
 
Si future ya kila mtu kuwa na mtoto jamii iache ku push kitu ambacho si lazima kwa kioa mtu .

Dini ulizotaja hazijakulazimisha kuoa zimekushauri kuoa na si kwamba usipooa utapata dhambi hapana!

Kikubwa kinachofanya vijana waogope ndoa nowdays ni aina ya watu wanaokutana nao katika maisha ndiyo maana zinaa ikakatazwa kwenye vitabu ulivyotaja hapo juu .

Maana nowdays kijana mwenye 25+ tayari ameshakuwa na relationships zaidi ya 10 ambazo zote hizo hazikuzaa matunda ameshatumika vibaya mno plus kuwa na kumbukumbu mbaya sana ya mahusiano .

Wengine bado wanawapenda Ex wao sasa ukija kuoa au kuolewa na mtu kama huyo lazima utateseka tu maana akili yake haijatulia sehemu moja .

NA ZINAA NOWDAYS NI NYEPESI KULIKO KUPATA MAJI YA KUNYWA.
 
Angalau umetoa elimu. Asante
 
Alafu they got nothing to offer other than mbususu.
Sasa mbususu zimejaa kibao tinder badoo ya nini ufuge mtoto wa mtu ndani ya nyumba unalilisha kulivisha alafu halina shukran
Utaratibu huo wa kumfuga utakuwa umeamua wewe.

Mimi mke wangu anachangia karibu robo la pato la familia kwa akili yake. Robo nyingine nimemtengenezea mazingira ya utafutaji bila hata kusafiri.

Mwezeshe, mhamasishe, msimamie na kumwongoza katika upambanaji. You will enjoy your merriage.

Ukimpata anayekuelewa, kuoa raha jamani.
 
Ni akili tu ndio hawana, wakikua wataelewa. Hopeful hawatozeeka na upumbavu wao.

Watarudi na nyuzi za kutafuta wachumba, bahati mbaya watakuja na id mpya.
Ila mkuu wasikuumize kichwa, wanajikuta tu humu jukwaani ila mtaani wanaoa vizuri tu.
 
Tunaosababisha hayo ni sisi wanaume kuweka vigezo vya wanawake hivyo wakati tunajua kuwa wakati ukifika lazima matiti yalale.
 
Huyo mkeo ni wa dunia hii hii tunayoishi ama ? Itabidi nije kumuona
 
Lakwangu limo ndani linanambia maujinga kama haya,nimewaza sana jinsi ya kulikomoa na kuliacha ila roho haijapata majibu sahihi!!
 
Kuoa hawataki, kufuga wanyama hawataki, kupanda miti hawataki sasa hii dunia wataishi akina nani?
 
Hasara kubwa ya ndoa ni pale unapomfumania mke wako na kuamua kuachana naye. Kile kidogo mlichowekeza inabidi mgawane. Hapo ni kama unaanza upyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…