Chief,piga chini ilo litakuharibia future yako.
Mimi siwezi tumia my hard earned money kumfurahisha mtu.
Kesho mambo yako yakisimama litahama kwako na kutafuta Bwana mwingine kwasababu kichwani mwake limejijengea mentality ya kuhudumiwa na kufurahishwa.