Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kura ndio zinaamua nini kazi ya majaji, unasema anastahili utunzi kwa wimbo wa Mwana vipi kuhusu Bella na nani kama Mama.Kiba hajapewa tuzo wapigaji kura ndo walipendekeza hvyo.....mimi nafikir kampen yako ungeielekeza kwa waandaji wa KTMA wabadilishe mfumo wa upigaj kura na sio kuleta bla blaa hapa watanzania wamemchagua mm nafikir tatzo ni mfumo tu,, unasema kiba katunga nyimbo gan za maaana??? Hata kama una chuki sio kiivyo mkuu jitahid kuzuia mihemko yako ili ujadili hoja kwa kubalance hivi nyimbo ya mwana unaiona kwa waswas nini? Ckatai barnaba ni mtunz mzur sana ila pia kutumia kiswanglish nayo tatizo mwana mwanzo had mwisho kiswahil kuntu pia barbana kura hazikutosha vp kuhus zle 7 za mond alistahil zote?? Au kiba tu ndo kosa limefanyika?
Kama kura ndio zinaamua nini kazi ya majaji, unasema anastahili utunzi kwa wimbo wa Mwana vipi kuhusu Bella na nani kama Mama.
Utumbuizaji bora hapa ndio kichekesho zaidi, huo utumbuizaji hata kwenye video yake ya Mwana ameshindwa kabisa kuonyesha ubunifu wa kumiliki jukwaa.
Sasa mtu ukimwambia huyo ndio mtumbuizaji bora, atabaki mdomo wazi na kuamini Tanzania hatuna watumbuizaji.
Mbaya zaidi na wadau wa mziki wenyewe wamekumbwa na upepo wa hizi team ushuzi, ukiuliza show gani alifanya Kiba na kuonyesha umahiri wake wa utumbuizaji ...wanajificha kwenye kivuli cha kura zimeamuaTasnia ya filamu na muziki wa tanzania umeshavurugwa...
Watu wenye akili timamu wanaongozwa na mtu mmoja kufanya maamuzi...
Hivi Wema ana nguvu gani hadi amewachota akili watu wenye degree zao kufanya maamuzi anayotaka yeye??...
Kama kura ndio zinaamua nini kazi ya majaji, unasema anastahili utunzi kwa wimbo wa Mwana vipi kuhusu Bella na nani kama Mama.
Utumbuizaji bora hapa ndio kichekesho zaidi, huo utumbuizaji hata kwenye video yake ya Mwana ameshindwa kabisa kuonyesha ubunifu wa kumiliki jukwaa.
Sasa mtu ukimwambia huyo ndio mtumbuizaji bora, atabaki mdomo wazi na kuamini Tanzania hatuna watumbuizaji.
Mbaya zaidi na wadau wa mziki wenyewe wamekumbwa na upepo wa hizi team ushuzi, ukiuliza show gani alifanya Kiba na kuonyesha umahiri wake wa utumbuizaji ...wanajificha kwenye kivuli cha kura zimeamua
Pole sana najua umekwazika sana, lakini humu kwenye mitandao tunakutana na watu tofauti tofauti hasa kitabia.mzurimie huyo muache aite machangu,malaya,wafu...
whatever mradi kila mtu ana rizki yake shauri yakee...
na mradi si changudoa kweli wala haiumi..duniani hakuna tusi jipya..
kila mtu ana uhuru wa kufanya yake mradi hatununuliani mabundle...
pigeni kura bila kukwazana..!!
km kutpompigia kura daimond ni akili x
za kichangudoa mie malaya mbwaa,tena changudoa la kimboka au kona bar na uwanja wa fisi...!!
najua atapita kusomaa!!!
Pole sana najua umekwazika sana, lakini humu kwenye mitandao tunakutana na watu tofauti tofauti hasa kitabia.
Muachieni Tu Kwan shngapi
mzurimie huyo muache aite machangu,malaya,wafu...
whatever mradi kila mtu ana rizki yake shauri yakee...
na mradi si changudoa kweli wala haiumi..duniani hakuna tusi jipya..
kila mtu ana uhuru wa kufanya yake mradi hatununuliani mabundle...
pigeni kura bila kukwazana..!!
km kutpompigia kura daimond ni akili x
za kichangudoa mie malaya mbwaa,tena changudoa la kimboka au kona bar na uwanja wa fisi...!!
najua atapita kusomaa!!!
fake hyo tushajua mbinu yenuuu...
idawa
Kiba hajapewa tuzo wapigaji kura ndo walipendekeza hvyo.....mimi nafikir kampen yako ungeielekeza kwa waandaji wa KTMA wabadilishe mfumo wa upigaj kura na sio kuleta bla blaa hapa watanzania wamemchagua mm nafikir tatzo ni mfumo tu,, unasema kiba katunga nyimbo gan za maaana???
Hata kama una chuki sio kiivyo mkuu jitahid kuzuia mihemko yako ili ujadili hoja kwa kubalance hivi nyimbo ya mwana unaiona kwa waswas nini? Ckatai barnaba ni mtunz mzur sana ila pia kutumia kiswanglish nayo tatizo mwana mwanzo had mwisho kiswahil kuntu pia barbana kura hazikutosha vp kuhus zle 7 za mond alistahil zote?? Au kiba tu ndo kosa limefanyika?
umeongea points...
washabiki hao wa barnaba je?walipiga kura
mi juzi nimeshuhudia vijana wanabishana kuhusu hilo
wawili wanasema wamempigia kura aly k,wale wengine hawakumpa barnaba wala yoyote!!
hivi angeshindaje bila wao kupiga kura..?!!
jamani aly ameshinda kwa kura!
huyo wema sepetu mnaemtukana kila siku!!
nyie humu eidha ni wazazi au wazazi watarajiwa!!
mtakuja kukuta watoto wenu wameharibikiwa mkashangaa sana kujifanya mnajua kuwalea kumbe kuna mtu ulimsononesha siku za nyuma
hvyo dhambi ya kumtusi na kumkashifu mtoto wa mwanaume au mwanamke mwenzio itakutafuna kupitia kwa wanao
Kama kura ndio zinaamua nini kazi ya majaji, unasema anastahili utunzi kwa wimbo wa Mwana vipi kuhusu Bella na nani kama Mama.
Utumbuizaji bora hapa ndio kichekesho zaidi, huo utumbuizaji hata kwenye video yake ya Mwana ameshindwa kabisa kuonyesha ubunifu wa kumiliki jukwaa.
Sasa mtu ukimwambia huyo ndio mtumbuizaji bora, atabaki mdomo wazi na kuamini Tanzania hatuna watumbuizaji.
Pole sana ndugu.Huyo mtu nafikiri ni mkazi wa mbagala Kwa hiyo dimon akifika dar live anampatia bia za bure sasa analeta hoja zilizo lala kwani kiba kapewa kura na nani zaidi ya wapiga kura? Au wamezoea kipewa sasa wanafikiri na huyo kapewa? Ajipumzishe huko asituchoshe akili zetu mi namkubali kiba na sio langolongo, Anatakiwa ajue kuwa nyota ya mtu wake ya kazi ni wemana si wengine sasa ajiandae kuanguka kabisa hii ni mwanzo tuu
Pole sana ndugu.
Ukute wale mademu 2 walitoa hadi huko kwa bibi ili kiba apate hizo tuzo.
Ukute wale mademu 2 walitoa hadi huko kwa bibi ili kiba apate hizo tuzo.