Kampeni: Kiba rudisha tuzo mbili ulizopewa (sio ulizoshinda)

Kampeni: Kiba rudisha tuzo mbili ulizopewa (sio ulizoshinda)

Kazi za Diamond zilikuwa haxina pingamizi alijituma ikaonekana na bado zinaonekana bila ubishi

Mtoto wa Tandale yupo juuuuuuuu

lakini kipindi kile barnaba alikuwepo ila hamkupinga kama hivi sasa
 

Attachments

  • 1434533229253.jpg
    1434533229253.jpg
    33.4 KB · Views: 226
sasa mtunzi bora ni barnaba kwani diomond alivyochua tuzo barnaba c alikuwepo au na inamana diomond ndo anaonewa yy alivyochukua belle9 c alilalamika mbona hamkuchukua hatua sema nyinyi chuki zenu ni kwa kiba tuu basi hamna kingine
 
sio hizo tu, na ya wimbo bora ampe Christian Bella(Nani kama Mama)
 
Inabidi timu yake impe changamoto kuonyesha kuwa yeye anajituma kikazi.

Na sio kushinda kuponda wasanii wanaojituma.

Ni kumsukuma apande juu
 
Last edited by a moderator:
Arudishe tu mbona kipind kile bushoke alikataa tuzo na kusema sio yake hakustahil......

Naye namshaur arudishe tu mana hakna namna nyingne
 
Kaeni hvyo hvyooo...
Kura hampigi maneno mengiii
hahahaaaaaaaaaaa....
Hehheiyyaaaa
khooooo ptuuuuuu.....
Ndo ashapata sasa na harudishi asilani..

Mlie,mcheke..muandameni..
Shauri yenuuuuu...

Waleeeeee tunapepeaaaa ....
Ukijihisi humpendi kiba ndo lako hilooo

na mseme mpk mchoke maneno hajali..
Mola hamtupi mja wake..

Yeye si wa kwanza wala wa mwisho kusemwaaa
mkichoka mtalala..au mnaenda kunyaaaa.....

Poleniiiiii
 
Kaeni hvyo hvyooo...
Kura hampigi maneno mengiii
hahahaaaaaaaaaaa....
Hehheiyyaaaa
khooooo ptuuuuuu.....
Ndo ashapata sasa na harudishi asilani..

Mlie,mcheke..muandameni..
Shauri yenuuuuu...

Waleeeeee tunapepeaaaa ....
Ukijihisi humpendi kiba ndo lako hilooo

na mseme mpk mchoke maneno hajali..
Mola hamtupi mja wake..

Yeye si wa kwanza wala wa mwisho kusemwaaa
mkichoka mtalala..au mnaenda kunyaaaa.....

Poleniiiiii

Hatumsemi ila huo ndio ukweli baadhi ya tuzo amepewa si kwa sababu ya vigezo bali upendeleo.
 
Hatumsemi ila huo ndio ukweli baadhi ya tuzo amepewa si kwa sababu ya vigezo bali upendeleo.

ulipiga kuraaaa
hv majaji wataamuaje km kura ziko nyingi hata kuchakua inashindikana..?!
mfano km alipata kura 4 huyo bela then kiba millioni je?
 
Back
Top Bottom