Kampeni Kigoma ni shwari kabisa hakuna malalamiko labda kwa vile Chadema hawashiriki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kampeni za CCM na ACT wazalendo hadi sasa tunavyoelekea ukingoni zimekuwa za kistaarabu na kuheshimiana sana.

Unaweza kufikiri Chadema ndio miamba ya kejeli na kulalamika kwa sababu bila uwepo wao CCM inapeta tu kama kumsukuma mlevi wa mataputapu..

Eid Mubarak!
 
Kuna JIZI CCM na lofa mmoja....ACT mtafuta fursa ya tumbo
 
Kampeni za CCM na ACT wazalendo hadi sasa tunavyoelekea ukingoni zimekuwa za kistaarabu na kuheshimiana sana.

Unaweza kufikiri Chadema ndio miamba ya kejeli na kulalamika kwa sababu bila uwepo wao CCM inapeta tu kama kumsukuma mlevi wa mataputapu..

Eid Mubarak!
Joni usemaji wa time ya uchaguzi umejipa lini.au ni moja wa waratibu wa zile chaguzi za karibuni.
 
Hapo Tume CCM na Chama cha Majambazi vs Act Wazalendo yaani ni Mchezo wa kuigiza tu ili isemekane Tanzania kuna Demokrasi na Misaada imiminike
 
IMG_20210513_171722.jpg
 
Haahaa hao wote wako serikalini, Sio mbaya.Ingawa mshindi Ni ccm hapo
 
Uchaguzi ni ccm na kibaraka wake act,lkn huko kigoma cdm haikauki midomoni😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom