johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna JIZI CCM na lofa mmoja....ACT mtafuta fursa ya tumboKampeni za CCM na ACT wazalendo hadi sasa tunavyoelekea ukingoni zimekuwa za kistaarabu na kuheshimiana sana.
Unaweza kufikiri Chadema ndio miamba ya kejeli na kulalamika kwa sababu bila uwepo wao CCM inapeta tu kama kumsukuma mlevi wa mataputapu..
Eid Mubarak!
Joni usemaji wa time ya uchaguzi umejipa lini.au ni moja wa waratibu wa zile chaguzi za karibuni.Kampeni za CCM na ACT wazalendo hadi sasa tunavyoelekea ukingoni zimekuwa za kistaarabu na kuheshimiana sana.
Unaweza kufikiri Chadema ndio miamba ya kejeli na kulalamika kwa sababu bila uwepo wao CCM inapeta tu kama kumsukuma mlevi wa mataputapu..
Eid Mubarak!
Siyo jizi, ccm Ni jambazi, hiyo steji ya wizi walishavuka miaka mingi, usiwarudishe nyumaKuna JIZI CCM na lofa mmoja....ACT mtafuta fursa ya tumbo
Perfect description, Jambazi CCM johnthebaptistSiyo jizi, ccm Ni jambazi, hiyo steji ya wizi walishavuka miaka mingi, usiwarudishe nyuma
Vp meko anajisikiaje pale kaburini kufa kwa Corona? Nina imani atakuwa anajuta kwanini hakukeep distance, kwanini alishikana shikana mikono hovyo na wezi wenzake, kwanini hakuvaa na akakataza mataga kutovaa barakoa(amekufa wamemgeuka hivi Sasa wanavaa).