Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Napendekeza campaign Ianzishwe kususia vyombo vya habari vinavyoonyesha ubaguzi kwa chama vya upinzani. Hii style imefanikiwa sana siku za nyuma dhidi ya TBC. Hii inatokana na ukweli kwamba, hawa watu wanaonyesha waziwazi hujuma zao dhidi ya vyama kama CHADEMA
Majuzi, Mwananchi Digital ilifanya hujuma mbaya sana. Kila Lissu alipotaka kutamka maneno fulani, walizima sauti kwa kisingizio la tatizo la kiufundi. Kwa sababu TBC wameshajiweka wazi kwamba wao ni Shirika la CCM, tupambane na Mwananchi na wengineo
Nawasilisha