Kampeni kususia Vyombo vya Habari ianze

Delete ccm Oct 28
 
Ukitaka taarifa fuatlia BBC, VOA, Radio ya Ujeruman nk, achana na vyombo vya Bongo, utakuja kuishiwa maarifa na taarifa sahihi
 
Ndugu yangu kwani lazima Lissu atangazwe na Media zote za Tanzania?

Chadema mmejinasibu kuwa na wanachama wapatao milioni kati ya 5-7 huu ni mtaji tosha kwakua hata vyombo mnavyovililia viwatangaze havisikilizwi na Watanzania wote hao.

Kwanini msiwaambie wanachama wenu waanze kupost hotuba za Tundu Lissu kwenye account zao za Twitter, Instagram, TikTok, Facebook, Jamiiforums nk.

Mtapata same impact kuliko kulia lia kila kukicha
 
Nani aliwazuia kununua tv yao au hata vifaa vya kurekodi matukio yao,
Chama kikuu cha upinzani bado kina kodi wapiga picha wa harusini?
Ukuon hivyo ujue hakina uwezo wa kuongoza nchi hivyo mjipange
Hapa chadema wanastahili lawama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…