Kampeni maalumu: 2025 Mpe mama tabasamu

Lanunua chupi ya milioni 2 na saa 6 za milioni zaidi ya mia 850 kiasha akanunua shanga za kiunoni za almasi na dhababu zenye thamani ya dola mil 1
 
na ung'ang'ane apo apo vizuri zaid, ndipo nasi tuweza kutumia kama njia rahisi na ya mkato zaid ya kuwachapa vizuri sana serikali za mitaa baadae 2024 na serikali kuu vizur zaid apo mwakani 2025 kwenye debe 🐒
Kwa tume hii na kwa mtindo huo CCM lazima mshinde ila tukisema tume huru ndio mahali tunachora mstari!

Ila endeleeni tu kwa kipindi kile wenzenu walikuwa wanaimba KANU juu Nyayo juu juu kabisa leo ,KANU iko wapi?

CCM bila kura za nje ya box hamuwezi kushinda uchaguzi Samia ni mgombea dhaifu kuwahi kutokea kama CCM mtamsimamisha 2025.

Hana mvuto ndio maana nguvu nyingi zinatumika kuonyesha uwepo wake.

She is just there inadvertently, empty and debunked from the word go!
 
mnaweweseka tu kana kwamba CCM itawaenea huruma kwenye uchaguzi 🐒 thubutuuuu🤣

maana hamueleweki mara mtazira mara mtasusa uchaguzi eti sijui bila katiba au tume, mara tena mnazinduka mnataka kushiriki uchaguzi🤣

hata ulete story, historia, porojo na script za aina gani, CCM haitaki matani, haitaki mzaha wala haioni haya kutumia every possible resources physical, mentally and technologicaly, kuwafikia wapiga kura wengi zaidi kuliko chama chochote cha siasa unachokijua wew humu nchini na kushinda uchaguz 🐒
 
Hakuna mtu hapo. Bora mara 💯 tumpe nchi Mh. Hashim Rungwe Spunda, ili wananchi wawe na uhakika wa kula ubwabwa na nyama kila siku.

Ila siyo huyo Mama yenu anaye wanufaisha mafisadi tu na wageni; huku wananchi walio wengi wakitaabika kwa ugumu wa maisha.
 

 

 
Siwezi kukubeza kwa sababu umeweka mawazo yako. Ninakubeza kwa sababu umegoma kukua.

Hongera kwa kupambania chama mfu
 
Mza

Mzanzibari ni mtanzania, hii ni JMT na sio Jamhuri ya Tanganyika.
Hujui lolote au umeamua kujifanya mjinga...

Sikiliza ndugu. Huu uongo na udanganyifu ni lazima ufike mwisho..

Mzanzibari ni Mzanzibari na kamwe hawezi kuwa Mtanganyika kwa jina la uongo la "Mtanzania"

Vivyo hivyo, Mtanganyika ni Mtanganyika tu hata kama amepewa jina la uongo la "Mtanzania"

Wakati umefika na ni huu kwa Tanganyika kurejeshwa ktk vitabu vya sheria na kudanganywa kufikie mwisho..!!

Na wewe acha kujidanganya mwenyewe. Fungua akili, face the truth..
 
Pumbavu, umeambiwa hana tabasam , ulipo hata benk wenda hata laki moja huna na kama unayo wenda nduguzo walipo wanalia na maisha magum , we upo hapa leta ujinga .

Uyo unaetaka kumpa tabasam vitukuu na vitukuu vyake havita kaa vikakosa mlo wa mara tatu kwa siku.

Akili za hivi muwe mnapeleka huko face book sio katika forum zenye watu wanajitambua kama jf, Pumbavu tena
 
Mambo ya mama kizimkazi hayo na CCM yenu.
 
Mambo ya mama kizimkazi hayo na CCM yenu.View attachment 2930556
Yes,
Panaweza pakawa na changamoto lakini mara nyingi huwa sivyo kama inavyoripotiwa 🐒

hata hivyo,
tayari viongozi wa kisekta wapo field kuhakikisha kila kitu kinatatuliwa na kiko sawa, nadhani wew mwenyewe ni shuhuda, kwenye maboresho na marekebisho yaliyofanywa na mkuu wa nchi jana, shirika unalolitolea mfano kua na changamoto limeguswa na mabadiliko pia 🐒

so,
hayupo wa kuzuia wala kudhoofisha kampeni yoyote dhidi ya comrade Dr SSH kuongoza tena muhula ujao kwa kishindo zaidi 🐒
 
Wafanyabiashara wananunua dollar kwenye soko haramu Ili kuagiza bidhaa nje ya Nchi baada ya kukosa huduma hiyo kwenye banks,

Wewe unatwambia tumtafutie mtu tabasamu?
 
Muda mzuri wa kumpa Air hostess ni awapo angani kwenye ndege akitimiza majukumu yake
 
Wewe kweli ni nanga. Eti kwa wasiofahamu ili wafahamu, then wakishafahamu so what!!! Mwanakijiji wa nanjilinji atafaidika vipi akifahamu kuwa mama kanunua ndege za viongozi? Kuna haja gani ya kumfahamisha mtu kuwa umemjengea barabara wakati anaiona? Unachomfahamisha ni nini? Hata kama ni njaa au uchawa basi huu wako umezidi, mnakera!
 
Elimu Haina mwisho na sio Kila mtu anajua vile unavyojua. Kuna wengine wanajua barabara ni Kwa ajili ya kupitisha magari tu ila Kuna wengine wanajua zaidi
 
Punguza pumba ewe chawa wa mama Abdul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…