Kampeni Maalumu ya Uwekezaji Lindi na Mtwara

Kampeni Maalumu ya Uwekezaji Lindi na Mtwara

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,422
Reaction score
7,350
Wawekezaji njooni Kusini{Lindi na Mtwara},Umeme wa Uhakika upo kusini,Ukatiki,njooni mjenge Viwanda Tanzania kusini#Umeme wa Uhakika Upo# NB:sehemu ambayo Tanzania umeme ausumbui ni hiyo Mikoa,muhimu ni kwa wale wote waliofunga viwanda Dar,Arusha,Mwanza,nk kwa sababu ya Umeme,Kusini umeme Mwingi tu njooni kusini
Ardh hipo nyingi nk karibuni karibuni karibuni pia wawekezaji wapya
 
Njooni mjenge mahoteli,Lodge,viwanda,msije baadae mkalalamika oooh atukuwambia
 
Wale wenye Parking za kuuza magari njooni huku
 
Back
Top Bottom