Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Wawekezaji njooni Kusini{Lindi na Mtwara},Umeme wa Uhakika upo kusini,Ukatiki,njooni mjenge Viwanda Tanzania kusini#Umeme wa Uhakika Upo# NB:sehemu ambayo Tanzania umeme ausumbui ni hiyo Mikoa,muhimu ni kwa wale wote waliofunga viwanda Dar,Arusha,Mwanza,nk kwa sababu ya Umeme,Kusini umeme Mwingi tu njooni kusini
Ardh hipo nyingi nk karibuni karibuni karibuni pia wawekezaji wapya
Ardh hipo nyingi nk karibuni karibuni karibuni pia wawekezaji wapya